Habari za wakati huu wakuu. Nimengoa jino tarehe 20 december 2018 lakini mpaka dakika hii fizi inaniuma sana. Dawa nilizopewa pamoja na za maumivu zimeisha na nimeongeza zingine lakini fizi bado tatizo.
Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app