Msaada FOREX

kwanini iwe monthly na kama ni monthly asilimia ingepanda kidogo mkuu.....unless uyo mtu anaweka 4000$ + ndo anaweza kufeel kwamba kunakitu kinaendelea
Kweli mkuu 25% ya laki 4 ni kama laki 1 tu kila mwezi. Thats very minor amount of cash kulingana na investment. Ingekuwa kila week walau inge make sense. Means kwa mwezi unakuwa ume recover mtaji wako mzima then kuanzia week ya 5 unaanza kula faida.
 
Usithubutu huyo kachoma billions za watu sasahivi hapatikani kwenye simu na ofisi zimefungwa ilikuwa arudishe hela za watu hii april naoma imeshindikana.....kuna rafiki yangu wa karibu ni muhanga wa hili
Dogo mbona yupo online na anapiga kazi freshi ku recover losses. Unajua kilichomkutaga ni over confidence na kujiona kwamba forex anaweza kuichezea atakavyo akasahau kanuni za risk management akatandikwa, ku force comeback nayo ikakataa akajikuta amechoma account yake na za wafuasi wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Sahivi naona anacheza kistaarabu kwa adabu zote! Though kuna watu wamemkimbia
 
Yeah sikuhizi namuona sana insta na hashtag yake ya discipline experienced πŸ˜‚πŸ˜‚ ila bado hajarudisha hela za mainvestor....forex sio mchezo wenyewe wanakuambia the market will humble you 😁😁 yaani usipofata risk management kila siku utajikuta unadonate kwa broker
 
Forex haitaki ujuaji, ni kubuni mbinu less risky ya kula vi pips vyako vichache kila siku.

Sasa jamaa walianza shindana kutengeneza $10,000+ kila week kilichowakuta ni zaidi ya msiba kmmmk😁😁😁 inafikia stage mtu anafungua lot size kubwa ilimradi tu.
 
Yeah consistency, discipline na kucontrol tamaa ndio vya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…