Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mama watoto upo vizuri kwenye Forex? Nataka tutafute ada ya junia kabla ya mwezi wa 6 hapo.Mimi dakika mbili inaungua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama watoto upo vizuri kwenye Forex? Nataka tutafute ada ya junia kabla ya mwezi wa 6 hapo.Mimi dakika mbili inaungua
Kweli mkuu 25% ya laki 4 ni kama laki 1 tu kila mwezi. Thats very minor amount of cash kulingana na investment. Ingekuwa kila week walau inge make sense. Means kwa mwezi unakuwa ume recover mtaji wako mzima then kuanzia week ya 5 unaanza kula faida.kwanini iwe monthly na kama ni monthly asilimia ingepanda kidogo mkuu.....unless uyo mtu anaweka 4000$ + ndo anaweza kufeel kwamba kunakitu kinaendelea
Dogo mbona yupo online na anapiga kazi freshi ku recover losses. Unajua kilichomkutaga ni over confidence na kujiona kwamba forex anaweza kuichezea atakavyo akasahau kanuni za risk management akatandikwa, ku force comeback nayo ikakataa akajikuta amechoma account yake na za wafuasi wake 😂😂😂!Usithubutu huyo kachoma billions za watu sasahivi hapatikani kwenye simu na ofisi zimefungwa ilikuwa arudishe hela za watu hii april naoma imeshindikana.....kuna rafiki yangu wa karibu ni muhanga wa hili
Yeah sikuhizi namuona sana insta na hashtag yake ya discipline experienced 😂😂 ila bado hajarudisha hela za mainvestor....forex sio mchezo wenyewe wanakuambia the market will humble you 😁😁 yaani usipofata risk management kila siku utajikuta unadonate kwa brokerDogo mbona yupo online na anapiga kazi freshi ku recover losses. Unajua kilichomkutaga ni over confidence na kujiona kwamba forex anaweza kuichezea atakavyo akasahau kanuni za risk management akatandikwa, ku force comeback nayo ikakataa akajikuta amechoma account yake na za wafuasi wake 😂😂😂!
Sahivi naona anacheza kistaarabu kwa adabu zote! Though kuna watu wamemkimbia
Aah wapi niliacha siku nyingi sanaMama watoto upo vizuri kwenye Forex? Nataka tutafute ada ya junia kabla ya mwezi wa 6 hapo.
Forex haitaki ujuaji, ni kubuni mbinu less risky ya kula vi pips vyako vichache kila siku.Yeah sikuhizi namuona sana insta na hashtag yake ya discipline experienced 😂😂 ila bado hajarudisha hela za mainvestor....forex sio mchezo wenyewe wanakuambia the market will humble you 😁😁 yaani usipofata risk management kila siku utajikuta unadonate kwa broker
Vipi ulifanikiwa lakini au ulimtajirisha broker tu??? 😂😂😂Aah wapi niliacha siku nyingi sana
[emoji1787][emoji1787] niliishia tu kumtajirisha brokerVipi ulifanikiwa lakini au ulimtajirisha broker tu??? [emoji23][emoji23][emoji23]
.
Yeah consistency, discipline na kucontrol tamaa ndio vya msingiForex haitaki ujuaji, ni kubuni mbinu less risky ya kula vi pips vyako vichache kila siku.
Sasa jamaa walianza shindana kutengeneza $10,000+ kila week kilichowakuta ni zaidi ya msiba kmmmk😁😁😁 inafikia stage mtu anafungua lot size kubwa ilimradi tu.
Aisee sijui hata pakuanzia yani...nikajua we uko vizuri unipe class!
Utaua watoto we baba, lima tu matikitiAisee sijui hata pakuanzia yani...nikajua we uko vizuri unipe class!
Utaua watoto we baba, lima tu matikitiAisee sijui hata pakuanzia yani...nikajua we uko vizuri unipe class!