S Suplier Senior Member Joined Feb 20, 2013 Posts 110 Reaction score 9 Mar 6, 2013 #1 Naomba kujua tarehe ya mwisho wa usajili wa mtihani wa kidato cha pili 2013 kwa sababu kuna ndugu yangu anataka kurudia kidato cha pili kutokana na matokeo kutokuwa ya kuridhisha msaada wenu unahitajika
Naomba kujua tarehe ya mwisho wa usajili wa mtihani wa kidato cha pili 2013 kwa sababu kuna ndugu yangu anataka kurudia kidato cha pili kutokana na matokeo kutokuwa ya kuridhisha msaada wenu unahitajika