Naomba kujua tarehe ya mwisho wa usajili wa mtihani wa kidato cha pili 2013 kwa sababu kuna ndugu yangu anataka kurudia kidato cha pili kutokana na matokeo kutokuwa ya kuridhisha
msaada wenu unahitajika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.