Msaada Form ya mkopo HESLB

Msaada Form ya mkopo HESLB

Dansel

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
249
Reaction score
59
katika fomu yangu nliyotuma cheti cha kuzaliwa na cheti cha matokeo ya kidato cha nne,, havikupigwa muhuri,, naombeni msaada kwa anayejua nifanye nini ili nitume form mpya kutokana na kwamba mwezi mmoja umeongezwa
 
Kama kwel una hakika kua wameongeza mwez mmoja tuma form mpya tena..........maana maombi yako yatakua hayajakidhi vigezo
 
wameongeza muda hadi 31 July afanye kama anavyoshauriwa hapo juu
 
Kama kwel una hakika kua wameongeza mwez mmoja tuma form mpya tena..........maana maombi yako yatakua hayajakidhi vigezo
je fomu zikikutwa mbili haitakuwa na shida
 
Back
Top Bottom