MSAADA: Fumanizi la Mkeo/Mmeo

Joined
Feb 4, 2011
Posts
35
Reaction score
10
Wana JF, leo nimeenda kanisani na nimemsikia mchungaji anahubiri eti hata ukimkuta mke wako au mmeo anazini inabidi umsamehe.. Jamani hili linawezekana au ni hadithi za abunuwasi? MSAADA.
 
^ inategemeana na moyo wa mtu ulivyo..ila kusamehe ni muhimu. Mbona Mola anatusamehe kila siku ya nini sisi wanadamu tusisamehane?
 
kweli hata biblia inasema hvo samehe 7 mara 70 lakini sio kwa fumanizi....................huh
 
inategemea na mtu upendo na hasira ndizo zitatoa majibu
 
Wana JF, leo nimeenda kanisani na nimemsikia mchungaji anahubiri eti hata ukimkuta mke wako au mmeo anazini inabidi umsamehe.. Jamani hili linawezekana au ni hadithi za abunuwasi? MSAADA.
Hii thread umeiandika usiku mzito..hili kanisa gani la kiza kinene.
 
Mhhh hapa napita tuu jama
Ila duh yahitaji moyo wa chuma kusamehe na kusahau
 
wat i knw kusamehee ni maamuzi ya mtu binafsi na nilazima moyo wako uwe umeamua..vinginevyo utakaa na mateso tu moyoni
 
G/friend 2 inakua ngumu ndio iwe mke!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…