frankmshamimana
Member
- Feb 4, 2011
- 35
- 10
Wana JF, leo nimeenda kanisani na nimemsikia mchungaji anahubiri eti hata ukimkuta mke wako au mmeo anazini inabidi umsamehe.. Jamani hili linawezekana au ni hadithi za abunuwasi? MSAADA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />no comments
Hii thread umeiandika usiku mzito..hili kanisa gani la kiza kinene.Wana JF, leo nimeenda kanisani na nimemsikia mchungaji anahubiri eti hata ukimkuta mke wako au mmeo anazini inabidi umsamehe.. Jamani hili linawezekana au ni hadithi za abunuwasi? MSAADA.