Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Kwaio hio inafanana na ECT PWRS-Sharp inahold gear kwa muda mrefu (gari inachange gear kwenye higher RPM) inafaa kutumika kwenye overtaking
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaio hio inafanana na ECT PWRS-Sharp inahold gear kwa muda mrefu (gari inachange gear kwenye higher RPM) inafaa kutumika kwenye overtaking
Jamaa aliyeanzisha thread amenichekesha sanaHahahah mkuu fundi wako miyeyusho atakupiga hela mda si mrefu😂!
“Eco” ni kifupi cha neno Economy ama uchumi kwa maana ufanisi wa hali ya juu katika matumizi ya nishati ya mafuta katika gari yako.
Endapo hio taa itawaka basi tambua kuwa uendeshaji wako ni sahihi na unapelekea ulaji mzuri wa mafuta. Endapo utaanza kukanyaga race za ajabu ajabu zaidi ya 2.5RPM utaona hio taa inazima kuashiria uendeshaji wako ni mbovu na utachangia ulaji mbaya wa mafuta ya chombo chako.
So furahia hio alama zaidi kuliko kuwa na wasiwasi haina shida iko hapo kukupa marks za uendeshaji wako. Ikiwaka “Eco” maana yake upo on the right track ila ikizima kama ni ruti za mjini pekee jua tu utaenda sana sheli.
Kuhusu herufi “B” hio ni mahususi kwa engine braking. Unasukumia speed icontroliwe na engine kwenye miteremko
Noma sana yaniJamaa aliyeanzisha thread amenichekesha sana