Msaada: Fundi wa Smart Watch.

Msaada: Fundi wa Smart Watch.

Kaka Kapo

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2012
Posts
547
Reaction score
344
Wasalaam Jamani. Nina saa yangu Huawei Smart Watch GT2e imeingia maji inamissbehave naomba anayefahamu fundi wa aina hii ya saa anielekeze.. Asanteni
 

Attachments

  • 20240810_114124.mp4
    31 MB
Hiyo Nunua Nyingine Mkuu
Inaweza Pigwa Spana Isiimalike Pesa Imeenda
 
Hivi vitu havijaundwa kutengenezeka ikiharibika ni takataka kwa 90%, kama ni maji tu ichomeke kwenye mfuko wa mchele ikauke.
 
Back
Top Bottom