Msaada: Fungus wa kinywaji

Majestic wolf

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
1,248
Reaction score
1,851
Habari .
Naombeni msaada wenu wadau .Ninasumbuliwa na fungus kinywani kwa muda wa mwezi sasa. Nimetumia antifungal kibao ila hali inatulia then wanarudi tena.
Vile vile nina kama utepe flani hivi mweupe mdomoni(kama midomo ya mateja)
Msaada wenu wadau
 
Pole sana,
Pima CD4 kwanza mkuu! Hiyo hali kwa ufahamu wangu mara nyingi inawapata watu ambao kinga zao zime-compromise kutokana namatatizo mbalimbali ikiwemo, TB, AIDS au KANSA
 
Pole sana,
Pima CD4 kwanza mkuu! Hiyo hali kwa ufahamu wangu mara nyingi inawapata watu ambao kinga zao zime-compromise kutokana namatatizo mbalimbali ikiwemo, TB, AIDS au KANSA
Nilipimaga mkuu
 
Hospital specialist in skin
 
Hizo dawa unazotumia ndo zitakumaliza kabisa. Nenda Hosp kubwa. Halafu hili la kusema ulimi umekuwa kama mateja lifute. Mungu anaweza kukupa adhabu hapa.
 
Mkuu ninaweza kukutibu maradhi ya Fungus ya mdomoni nitafute kwa wakati wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 

umepima ukaambiwa ni fungus? na ni dawa gani ulizokwisha kutumia?
 
umepima ukaambiwa ni fungus? na ni dawa gani ulizokwisha kutumia?
Ndio mkuu niliambiwa ni oral candidiasis na nimetumia azithromycin, nystatin,fungicol ,na oral suspension moja hivi inaitwa metronicol hilo jina sina uhakika nalo sana, zote kwa nyakati tofauti
 
sidhani kama hizo dawa ulitumia kiusahihi, ok hata hivyo; kwanza kabisa jali usafi wa mdomo, kwenye vyakula, matunda kwa sana.
tukija kwenye dawa sasa: tumia tena hiyo Nystatin (suspension) mara 4 kwa siku.
Fluconazole 150mg/day kwa siku 14.

NB: hiyo Nystatin tumia mpaka ukiona vivyo viashilia vya fangasi vimeisha, na endelea kuitumia tu mpaka siku 5 mbele.
 
Ni meenda hospital leo nimepewa dawa ya fungus Kidogo 1×3 na dawa ya kupaka WENYE TATIZO LAZIMA KUMFUATA DAKTARI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…