Msaada: Fungus wa kinywaji

Msaada: Fungus wa kinywaji

Habari .
Naombeni msaada wenu wadau .Ninasumbuliwa na fungus kinywani kwa muda wa mwezi sasa. Nimetumia antifungal kibao ila hali inatulia then wanarudi tena.
Vile vile nina kama utepe flani hivi mweupe mdomoni(kama midomo ya mateja)
Msaada wenu wadau
nakushauri umwone Daktari wa ngozi kwenye hospitali kubwa. pia jitahidi kupima vipimo vyote hasa hiki kikubwa
 
Fungus ni viumbe ambao tunaishi nao hata mm nmesumbuliwa kwa muda sanaaa ila niliambiwa ili fungus aweze kuleta madhara kama hayo lazima mwili wako uwe umepungukiwa vitamin,, so kama mwili wako ukipata vitamin cell zitampambana nao hao fungus na hawataweza kuonekana,,, mm nltumia vidonge ving vya fungus ila skupona ndipo nilipoamua kutumia vidonge vya multvitamini vitatu kw siku,, ilichukua kama siku tatu zikawa zimeanz kupona kabisa,, nakushaur ufanye hvo
 
Asante nyote kwa ushauri ...nimetumia nystatin tena angalau pia natafuna tangawizi naona ndo kiboko yao
 
Habari .
Naombeni msaada wenu wadau .Ninasumbuliwa na fungus kinywani kwa muda wa mwezi sasa. Nimetumia antifungal kibao ila hali inatulia then wanarudi tena.
Vile vile nina kama utepe flani hivi mweupe mdomoni(kama midomo ya mateja)
Msaada wenu wadau
Pima HIV status
Baada ya hapo daktar wako atakuwa na njia sahh ya kksaidia
 
Fungus eneo gani mkuu,iwapo ni katika mdomo wa chini,namaanisha lips,
 
Back
Top Bottom