Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
mi nilijua meno ya nyokaFANGS ndio nini??
We jamaa ni mburula kweliFungus ni vimelea vinavyosababishwa na watu wanaofikiria na ass
nunua Gentrisone sh 3500 ni ya tubeWakuu wa Nchi naombeni kama Kuna mtu anayejua Dawa ya kumeza au sindano au ya kupaka please anisaidie ,maana hichi kidole cha upande wa kulia cha mwisho kina Fangs mpaka kinasababisha tezi karibia na korodani kuuma ndio wanaita utoke ,have a great day.
Saga punje 1 ya kitunguu saumu kisha jipake kwenye hicho kidole asubuhi na jioni kwa siku 3 au siku 7 utapona.Wakuu wa Nchi naombeni kama Kuna mtu anayejua Dawa ya kumeza au sindano au ya kupaka please anisaidie ,maana hichi kidole cha upande wa kulia cha mwisho kina Fangs mpaka kinasababisha tezi karibia na korodani kuuma ndio wanaita utoke ,have a great day.
asante kwa kuitikia wito DkSaga punje 1 ya kitunguu saumu kisha jipake kwenye hicho kidole asubuhi na jioni kwa siku 3 au siku 7 utapona.