Msaada: Fungus zinanimaliza

Kama ni hivyo kwanini asitengeneze salt solution akawa anaapply locally kwenye eneo lenye utata?

Mi nadhani mtoa mada ameziacha hizo fangasi hadi zikatengeneza secondary bacterial infection,nenda pharmacy kanunue dawa ambayo ni mseto wa antifungal na antibacterial

Note:Recurrent fungal infections is an indicator of immunosupression
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…