Singidan JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 881 Reaction score 942 Aug 17, 2018 #1 Wakuu, Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro. Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k. Je ni sehemu salama pia? Asanteni.
Wakuu, Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro. Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k. Je ni sehemu salama pia? Asanteni.