Msaada: Fursa za Kiuchumi Kahama-Shinyanga

Msaada: Fursa za Kiuchumi Kahama-Shinyanga

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
881
Reaction score
942
Wakuu,

Naomba kufahamu kwa undani mji wa Kahama.

Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k.

Je ni sehemu salama pia?

Asanteni.
 
Katoro ipo Geita na siyo Shy. Imepakana na Buseresere kama mji pacha maana iko sehemu moja. Ila Buseresere inaitikia upande wa wilaya ya Chato.

Katoro nyingine ni kijimji kidogo huko Bukoba. Siwezi kusema hakuna fursa za kibiashara maana kila sehemu(mazingira) ni fursa. Inategemea na jicho/upeo wa mhusika

Katoro ni mji mzuri kwa biashara karibu zote.
****************************************

NGOJA WAJE KUJAZIA NYAMA WENGINE.
 
Back
Top Bottom