C Carl46 Member Joined Jun 10, 2014 Posts 16 Reaction score 0 Jul 1, 2014 #1 mi Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha Nne mwaka 2013, Anaenda chuo cha Afya cha st.bhakita namanyere kozi ya MEDICAL LABORATORY naomba mnisaidie Kama hii kozi inawweza kumpatia kazi nzuri na ya heshima hapo baadae
mi Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha Nne mwaka 2013, Anaenda chuo cha Afya cha st.bhakita namanyere kozi ya MEDICAL LABORATORY naomba mnisaidie Kama hii kozi inawweza kumpatia kazi nzuri na ya heshima hapo baadae