KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,797
- 1,594
Mpeleke Nduvin TMKWakuu nilikuwa naomba msaada kuna mdogo wangu kamaliza degree ya Mechanical mwaka uliopita, lakini mpaka sasa hajafanikiwa kupata ajira .Nilikuwa naomba kama panaweza patikana garage nzuri aje kuongeza ujuzi hata kwa malipo kidogo kama itawezekana kwa kipindi cha miezi 4/6.yeye anaishi Kibamba(DSM) na garage itakuwa vizuri ikiwa ndani ya DSM.
Mkuu nduvin Watampokea kweli?.
Mkuu mbona umeweka link ya kujoin whatsap,vipi nikijoin huko ntapata msaada nao uhitaji kweli?.
mbn link yenyewe ina kataaMkuu mbona umeweka link ya kujoin whatsap,vipi nikijoin huko ntapata msaada nao uhitaji kweli?.
Mtakuja kutekwa nyie.
Ukitokea Mbezi Mwisho inabidi upande gari za Temeke-Mbezi (Ufito wa njano na kijani) zinapita Morogoro Road utashuka kituo cha Sokota. Hapo unatembea hatua kadhaa kwenda Nduvini Auto Garage.Mkuu nduvin Watampokea kweli?.
Na vipi ukiwa unatokea Mbezi mwisho, unapanda gari za temeke je unashukia kituo gani?.
Shukia kituo cha Sokota,panda gari za Mbezi Temeke zinazopita Ubungo usipande zinazopita KinyereziMkuu nduvin Watampokea kweli?.
Na vipi ukiwa unatokea Mbezi mwisho, unapanda gari za temeke je unashukia kituo gani?.