Msaada garage nzuri ambayo mtu anawezapata mafunzo kwa vitendo.

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
1,797
Reaction score
1,594
Wakuu nilikuwa naomba msaada kuna mdogo wangu kamaliza degree ya Mechanical mwaka uliopita, lakini mpaka sasa hajafanikiwa kupata ajira .Nilikuwa naomba kama panaweza patikana garage nzuri aje kuongeza ujuzi hata kwa malipo kidogo kama itawezekana kwa kipindi cha miezi 4/6.yeye anaishi Kibamba(DSM) na garage itakuwa vizuri ikiwa ndani ya DSM.
 
Mpeleke Nduvin TMK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nduvin Watampokea kweli?.

Na vipi ukiwa unatokea Mbezi mwisho, unapanda gari za temeke je unashukia kituo gani?.
Ukitokea Mbezi Mwisho inabidi upande gari za Temeke-Mbezi (Ufito wa njano na kijani) zinapita Morogoro Road utashuka kituo cha Sokota. Hapo unatembea hatua kadhaa kwenda Nduvini Auto Garage.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom