Msaada: Gari gani linakula mafuta kidogo?

Huijui Pajero mini ni miongoni mwa gari ngumu Ina engine ya piston 4 tena ukipata yenye turbo ndio bora zaidi tana katika kei car ngumu ni hii kuliko zingine kama Daihatsu Mira, Daihatsu move,Suzuki alto, Toyota pixis,
Pajero mini ina piston 3,(cc650)
Pajero Junior ina piston 4(cc1090)
Japo zinafanana sana kwa mwonekano.
Ni magari mazuri sana kwa ulaji wa mafuta
 
Mkuu nmesoma comments sijaona aliekushauri kufunga mfumo wa gesi kwenye hiyo rav4 yako uenjoy maisha. Wanasema kg 15(full tank) ina uwezo wa kufikisha 200kms ndio uongeze tena gesi.
Jaribu kufuatilia hiyo, iki make sense chukua option hiyo.
 
Pajero mini ina piston 3,(cc650)
Pajero Junior ina piston 4(cc1090)
Japo zinafanana sana kwa mwonekano.
Ni magari mazuri sana kwa ulaji wa mafuta
4a30 engine ni four cylinders inline wewe labda ulionao 3g83 engine ambayo ipo kwenye Mitsubishi minica fifth generation narudia tena engine ya 4a30 ni ngumu sana hasa ukipata yenye turbo Mitsubishi 4A3 engine - Wikipedia
 
Si uJifunze kutengeneza mafuta ya gari yako kwann uhangaike kuwachangia wao KILA siku.
Me nataka gari inayokunywa mafuta sio shida.
Natumia E85 yaani mixing ya petrol na ethanol kwa ratio ya petrol 15 na ethanol 85.
Tupe dondoo mzee wa hii issue
 
Go for passo mkuu hutojuta ni gari nzuri sana. Mm nakikiki mara ya pili sasa
 
Mafuta ya 30,000/= , 220km
 
Kama uko vizuri achana na hao akina jimmy,vuta Toyota Aqua au Prius ni hybrid 1ltr unaenda km 20-35
 
Si uJifunze kutengeneza mafuta ya gari yako kwann uhangaike kuwachangia wao KILA siku.
Me nataka gari inayokunywa mafuta sio shida.
Natumia E85 yaani mixing ya petrol na ethanol kwa ratio ya petrol 15 na ethanol 85.
Mkuu Kalunya hapo unamaanisha hiyo Ethanol 85 inakuwa ni Lita 85 kwa 15 za petrol?.. na kutengeneza hiyo Ethanol 85 ni gharama kiaso gani?... Na Haina madhara yote kwenye mfumo wa injini?
 
Mkuu Kalunya hapo unamaanisha hiyo Ethanol 85 inakuwa ni Lita 85 kwa 15 za petrol?.. na kutengeneza hiyo Ethanol 85 ni gharama kiaso gani?... Na Haina madhara yote kwenye mfumo wa injini?
Ethanol lita 85 na petrol ni lita 15 then unamix pamoja. Haina madhara engine zote za petrol zinaburn vizuri ethanol bila shida, ethanol ni clean fuel ni nyepesi kuliko petrol. Pia unaweza ukatumia pure ethanol kwenye engine yeyeto ya petrol bila kuchanganya na petrol. Mfano nchi ya Brazil wao wanatumia pure Ethanol kwenye magari yao kwa 80%.Ethanol ni pure pombe ya gongo grade one. So gharama za kutengeneza gongo inategemea na wewe una malighafi gani rahisi kwako mfano unga wa muhogo, mabaki ya takataka za mazao masokoni mfano mbogamboga na matunda yaliyoharibika. Idadi ya lita itagemeana na matumizi yako kwa wiki kwa mwezi nk. Inahifadhika mda mrefu.
 
Mkuu sito wekwa ndani kwa kuzalisha gongo au utaratibu upoje kwa taifa letu
 
Mkuu sito wekwa ndani kwa kuzalisha gongo au utaratibu upoje kwa taifa letu
Gongo kama nia yako ni kuuza gongo ni haramu. Kwa personal use sio ishu.
Kama ni commercial kwa ajili ya kuzalisha
Spirit, sanitizer, jivi, konyagi, k vant, zote hizi ni byproduct ya gongo
 
Hebu wasiliana na Masoud Kipanya, ataweka sawa hili
 
mkuu sio brazil pekee yake ata united kingdom wanatumia utaona pump ina erufi e kwa % ila puma mbezi beach pia ipo hiyo hii wa magari toka UK nzuri kwao gari japan tuendelee kutumia unleaded tuangalie station zetu za pembeni ya mji mafuta yamechezewa sana ata ukiwa na gari yenye cc ndogo utalia tu tuwe makini sheli michezo mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…