Msaada: Gari gani linakula mafuta kidogo?

Narudia gari ya umeme haili mafuta kabisa
 
Io prius g3 head gasket yake ikiungua gharama zake zipoje kui badilisha?. Maana nimeona review wanasema kuanzia ya 2000-2009 na 2016-2020 ndio nzuri ila hizi generation ya 2010-20115 ni kipengele
 
Io prius g3 head gasket yake ikiungua gharama zake zipoje kui badilisha?. Maana nimeona review wanasema kuanzia ya 2000-2009 na 2016-2020 ndio nzuri ila hizi generation ya 2010-20115 ni kipengele
Head gasket kimubadili si issue kabisa,. Unabadili kirahasi, kama enjine nyingmgie
 
Si uJifunze kutengeneza mafuta ya gari yako kwanini uhangaike kuwachangia wao KILA siku.

Me nataka gari inayokunywa mafuta sio shida. Natumia E85 yaani mixing ya petrol na ethanol kwa ratio ya petrol 15 na ethanol 85.
Mkuu hii ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…