Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
nini kimekufanaya uhisi kuwa misfire hii ni kwa sababu ya petrol chafu???hakuna sababu nyingine?
Kwa kauzoefu kangu kadogo, hii ndio sababu kubwa maana 'sheli' zetu hapa bongo hii ndio 'michezo' yao, yaani kuchakachua mafuta (kuchanganya petroli na diesel au mafuta ya taa...!!).