Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
nini kimekufanaya uhisi kuwa misfire hii ni kwa sababu ya petrol chafu???hakuna sababu nyingine?
dalili ya kwanza ya piston rings kufa ni kupandisha oil....na mwenye gari hajasema kama inakula sana oil....ikizidi unaiona hadi kwenye exhaust pipe.
vipi mkuu na valve kama zikiwa majanga?? harafu kumbuka piston rings zipo za aina 2 kwenye pistoni 1.
.
vipi mkuu na valve kama zikiwa majanga?? harafu kumbuka piston rings zipo za aina 2 kwenye pistoni 1.
.
very rare.
Weka picha basi
SEMA TENA MKUU UNATAKA PICHA YA NINI??
Mie nataka picha ya Miss mkuuu
Hizi hazina distributer kama za zamani.
Utakuta spark plug inachomekwa kwenye "condenser" ndio ifungwe kwenye engine.
Kama ina condenser, basi tatizo liko hapo.
Kama umecheki kuhusu fuel system air filter na oil haipandishi basi angalia Condenser.
Tujuze kama umefanikiwa.
Safi. Namie kesho naenda kufanya hivihivi.wakuu nawashukuru wote yaani nimeenda kwa fundi kifua mbele, kama wengi mlivyo nishauri tatitzo lilikuwa fuel filter nikabadili na s plug kitu inalia kama leyland cd, heshima kwenu jf ni mwisho
Gx100 Ikiwasha check engine je shida yaweza kuwa zipi?mkuu hilo laweza kuwa tatizo dogo sana kama utafaham hiyo miss ni ya nini ??
inasababishwa na nini? hewa mafuta au moto??
ila kuna MISS moja dume na matata huwa inawatoa jasho mafundi wengi ni miss ya timing?? hiyo huwa ni kichaa balaa maana wengi wamezoea miss ya plug ndio hukimbilia kuzibadili wakitoka hapo nozeli chafu badili petrol filter then pump ya mafuta wakimaliza hapo safisha air cleaner. wakiona bado mambo magum vijasho huanza kuwatoka.
kwambali utasikia hii gari inabidi ipimwe na mashine??
Na inabidi ipimwe na mashine ikiwa imewaka tu au hata ikizima?Gx100 Ikiwasha check engine je shida zaweza kuwa zipi?
mkuu hilo laweza kuwa tatizo dogo sana kama utafaham hiyo miss ni ya nini ??