Tuambia unatumia gari ip mkuuJamani poleni na majukumu
Gari limenigomea ghafla nimemwita fundi akafuatilia mafuta yanafika, akitest plug zinachoma.
Titizo bado hajalitambua akitest plug nje ya injini zinachoma akizirudishia kwenye injini tukijaribu kuwasha gari haliwaki tukitoa plug tunakuta zimeloa kuonyesha hazichomi.
Naombeni msaada litakuwa ni tatizo gani kabla fundi hajaanza ufuatiliaji ambao unaweza ukaniletea gharama zingine.
Ahsante nasubiri ushauri wenu
Ni umenunua mwenyewe au la urithi? lete majibu ili tuone cha kukushauri waweza kuta uliachiwa bedifodi la mwaka 1963 tunaangaika kukushauri mifumo ya crown.Jamani poleni na majukumu
Gari limenigomea ghafla nimemwita fundi akafuatilia mafuta yanafika, akitest plug zinachoma.
Titizo bado hajalitambua akitest plug nje ya injini zinachoma akizirudishia kwenye injini tukijaribu kuwasha gari haliwaki tukitoa plug tunakuta zimeloa kuonyesha hazichomi.
Naombeni msaada litakuwa ni tatizo gani kabla fundi hajaanza ufuatiliaji ambao unaweza ukaniletea gharama zingine.
Ahsante nasubiri ushauri wenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni umenunua mwenyewe au la urithi? lete majibu ili tuone cha kukushauri waweza kuta uliachiwa bedifodi la mwaka 1963 tunaangaika kukushauri mifumo ya crown.
Ni kia carensGari gani
Ni kia carensTuambia unatumia gari ip mkuu
Ni kia cares hizi saloon ni kama nadiaNi umenunua mwenyewe au la urithi? lete majibu ili tuone cha kukushauri waweza kuta uliachiwa bedifodi la mwaka 1963 tunaangaika kukushauri mifumo ya crown.
Hapana ni manualAu uliizima ikiwa kwenye D
Ni umenunua mwenyewe au la urithi? lete majibu ili tuone cha kukushauri waweza kuta uliachiwa bedifodi la mwaka 1963 tunaangaika kukushauri mifumo ya crown.
Uelewa na utambuzi tumetofautiana, ameangalia plug zinapeleka moto akifunga kwenye engine akitoa anakuta zimelowa kuonyesha hazichomi, labda kuna mwingine amewahi kumbwa na tatizo kama hili anisaidie tunajua fundi wetu hawachelewi kuanza kufungua vitu.Yaani upo na fundi hapo then unauliza huku. Huyo fundi kweli?
Nashukuru sana, ngoja amalize huyu wa kompyuta ntawapa mrejeshoKwa haraka ni vitu 2 kimoja kati ya hicho hakipo sawa, 1. Crank sensor, 2 Knock sensor. Ie position sensor
Nashukuru sana, ngoja amalize huyu wa kompyuta ntawapa mrejesho
Ndiyo OBD codeOk. Computer una maana OBD code check au wanafanyaje?