Jamani poleni na majukumu
Gari limenigomea ghafla nimemwita fundi akafuatilia mafuta yanafika, akitest plug zinachoma.
Titizo bado hajalitambua akitest plug nje ya injini zinachoma akizirudishia kwenye injini tukijaribu kuwasha gari haliwaki tukitoa plug tunakuta zimeloa kuonyesha hazichomi.
Naombeni msaada litakuwa ni tatizo gani kabla fundi hajaanza ufuatiliaji ambao unaweza ukaniletea gharama zingine.
Ahsante nasubiri ushauri wenu