Msaada: Gari inapungua nguvu wakati naendesha, na inakuwa slow kuchanganya

Kuna vitu zaidi ya sita hapo lkn vi nne ndo crusial sana.
1.Angalia sparking plug zako
2. Airfliter
3. Fuel pump4
4. Cumbustion ya engine yako
5. Exhaust kama ina damage au uchafu
Nitaanza na hiyo namba 1, nitatoa mrejesho
 
Hivi huelewi kuwa RPM za injini zina uhusiano mkubwa na speed ya gearbox?? Somo hilo nadhani unahitaji kwenda darasani. Kama vitu hivyo viwili haviendi pamoja usingelikuwa na haja ya hiyo accelerator
Dah...huwa na mahusiano pale tu gari inapokuwa na mfumo wa kruzingi...mfumo unafanya gari ibaki katika kasi ileile unayoiweka.mfano km 100/saa....mfumo ambao injini inahitaji mrejesho kutoka kwenye giaboksi ili iweze kufungua/kufunga mafuta automatiki kadiri ya uhitaji wa injini wakati wewe unaelekeza njia tu [emoji86] [emoji87] [emoji85]
 
Hivi huelewi kuwa RPM za injini zina uhusiano mkubwa na speed ya gearbox?? Somo hilo nadhani unahitaji kwenda darasani. Kama vitu hivyo viwili haviendi pamoja usingelikuwa na haja ya hiyo accelerator
Nitaangalia vyote hivyo
 
Vipi mkubwa ulisha jaribu kubadilishana plug?
Nina kagari kangu kanatatizo kwa muda sasa, ninapokua naendesha halafu wakati niko kwenye mwendo kuna wakati engine inakua kama inajipinguza speed (Rpm) na nikiachia accelarator pedal gari inakua nzito kama inajipiga stop engine hivi kwa muda then inaacha, na pia wakati nimesimama kwenye foleni, wakati wa kuondoka gari inakuwa nzito na sluggish, yaan inachelewa kuchanganya tofauti na ilivyokuwa awali. Nilishabadilisha Curburator (Throttle body complete), 'speed sensor' za kwenye gear box, na hata 'fuel filter' ya kwenye tank la mafuta nilisafisha pia. Sasa hii hali bado inaendelea na inanikera mno, nisaidieni kwa wenye utaalam na haya mambo.
Gari ni Toyota saloon car, automatic transmission.(Brevis)
 
Mkuu, hapo ni Nozzle ndo zimeziba, kama gari yako ni injection, kuna vitundu kwenye Nozzle ambayo hutema mafuta kwenda kwenye combustion chamber, Kwa kawaida vipo vinne hadi sita kwenye Nozzle moja, hivyo baadhi ya vitundu vikiziba husababisha mafuta kwenda kidogo kwenye combustion chamber na kusababisha mlipuko kuwa mdogo, hivyo injini hukosa nguvu, unakuta unakanyaga mafuta lakini gari linakwenda taratibu sana, tafuta mafundi wasafishe Nozzle utashangaa mkuu
 
Asante, nitasisitiza hili lifanyike pia
 
Kuna sparking plugs hazichomi,si ajabu wakati unaondoka gari huanza kama linavibrate hivi au hata ukisimama tu gari inakua haijatulia kama ilivyokua mwanzo,
Ziko factor nyingi za hiyo hali kutokea ila anza na sparking plugs kwanza.
 
Nina kagari kangu kanatatizo kwa muda sasa, ninapokua naendesha halafu wakati niko kwenye mwendo kuna wakati engine inakua kama inajipinguza speed (Rpm) na nikiachia accelarator pedal gari inakua nzito kama inajipiga stop engine hivi kwa muda then inaacha, na pia wakati nimesimama kwenye foleni, wakati wa kuondoka gari inakuwa nzito na sluggish, yaan inachelewa kuchanganya tofauti na ilivyokuwa awali. Nilishabadilisha Curburator (Throttle body complete), 'speed sensor' za kwenye gear box, na hata 'fuel filter' ya kwenye tank la mafuta nilisafisha pia. Sasa hii hali bado inaendelea na inanikera mno, nisaidieni kwa wenye utaalam na haya mambo.
Gari ni Toyota saloon car, automatic transmission.(Brevis)
Watafufe hawa NP. Wako Temeke vetenari wanapima gari lako kwa kutumia diagnosis machine hivo utajua tatizo la gali lako na utajua nini kinatakiwa kurekebishwa +255710600608
IMG_20181007_122825_2.jpeg
 
Kama ni toyota hizi huwa na self diagnosis ambazo unahesabu code and then unagoogle unajua tatizo.Kama we siyo mzoefu nashauri check valve ya injection,nozel au fuel pump na endapo tatizo lipo basi chek na plug
 
Nina kagari kangu kanatatizo kwa muda sasa, ninapokua naendesha halafu wakati niko kwenye mwendo kuna wakati engine inakua kama inajipinguza speed (Rpm) na nikiachia accelarator pedal gari inakua nzito kama inajipiga stop engine hivi kwa muda then inaacha, na pia wakati nimesimama kwenye foleni, wakati wa kuondoka gari inakuwa nzito na sluggish, yaan inachelewa kuchanganya tofauti na ilivyokuwa awali. Nilishabadilisha Curburator (Throttle body complete), 'speed sensor' za kwenye gear box, na hata 'fuel filter' ya kwenye tank la mafuta nilisafisha pia. Sasa hii hali bado inaendelea na inanikera mno, nisaidieni kwa wenye utaalam na haya mambo.
Gari ni Toyota saloon car, automatic transmission.(Brevis)

Hapa anza na plugs, zikianza kuchoka zinasumbua mpaka utaichukia gari!! Na unabadisha hakikisha unatafuta plugs original kuna copies zitaifanya gari isikae katika mkao iliokuwa nao awali
 
Back
Top Bottom