FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Nitaanza na hiyo namba 1, nitatoa mrejeshoKuna vitu zaidi ya sita hapo lkn vi nne ndo crusial sana.
1.Angalia sparking plug zako
2. Airfliter
3. Fuel pump4
4. Cumbustion ya engine yako
5. Exhaust kama ina damage au uchafu
[emoji23]Hiyo ni kawaida kwa Magari ya mkopo mkuu!
Nadhani hii ndio ignition system yote, will do thisCheck na coil mkuu.
Hebu nieleweshe, gearbox inasabisha vipi hali hii?
Dah...huwa na mahusiano pale tu gari inapokuwa na mfumo wa kruzingi...mfumo unafanya gari ibaki katika kasi ileile unayoiweka.mfano km 100/saa....mfumo ambao injini inahitaji mrejesho kutoka kwenye giaboksi ili iweze kufungua/kufunga mafuta automatiki kadiri ya uhitaji wa injini wakati wewe unaelekeza njia tu [emoji86] [emoji87] [emoji85]Hivi huelewi kuwa RPM za injini zina uhusiano mkubwa na speed ya gearbox?? Somo hilo nadhani unahitaji kwenda darasani. Kama vitu hivyo viwili haviendi pamoja usingelikuwa na haja ya hiyo accelerator
Nitaangalia vyote hivyoHivi huelewi kuwa RPM za injini zina uhusiano mkubwa na speed ya gearbox?? Somo hilo nadhani unahitaji kwenda darasani. Kama vitu hivyo viwili haviendi pamoja usingelikuwa na haja ya hiyo accelerator
Nina kagari kangu kanatatizo kwa muda sasa, ninapokua naendesha halafu wakati niko kwenye mwendo kuna wakati engine inakua kama inajipinguza speed (Rpm) na nikiachia accelarator pedal gari inakua nzito kama inajipiga stop engine hivi kwa muda then inaacha, na pia wakati nimesimama kwenye foleni, wakati wa kuondoka gari inakuwa nzito na sluggish, yaan inachelewa kuchanganya tofauti na ilivyokuwa awali. Nilishabadilisha Curburator (Throttle body complete), 'speed sensor' za kwenye gear box, na hata 'fuel filter' ya kwenye tank la mafuta nilisafisha pia. Sasa hii hali bado inaendelea na inanikera mno, nisaidieni kwa wenye utaalam na haya mambo.
Gari ni Toyota saloon car, automatic transmission.(Brevis)
Sijawahi toka niinunue, nitajaribu, nitaleta mrejeshoVipi mkubwa ulisha jaribu kubadilishana plug?
Sijawahi toka niinunue, nitajaribu, nitaleta mrejesho
Garo?hii itakua ni ya alliens.Magari ya madem au vilema tumia manual ndio garo
Upate plug org la sivyo kilio kiko palepale;na mjini hapa zimejaa plugs fake tupuSijawahi toka niinunue, nitajaribu, nitaleta mrejesho
Asante, nitasisitiza hili lifanyike piaMkuu, hapo ni Nozzle ndo zimeziba, kama gari yako ni injection, kuna vitundu kwenye Nozzle ambayo hutema mafuta kwenda kwenye combustion chamber, Kwa kawaida vipo vinne hadi sita kwenye Nozzle moja, hivyo baadhi ya vitundu vikiziba husababisha mafuta kwenda kidogo kwenye combustion chamber na kusababisha mlipuko kuwa mdogo, hivyo injini hukosa nguvu, unakuta unakanyaga mafuta lakini gari linakwenda taratibu sana, tafuta mafundi wasafishe Nozzle utashangaa mkuu
khaa...ungekaa tu kimya uume wako usingekatika.Inywezshe mchuzi wa pweza
Watafufe hawa NP. Wako Temeke vetenari wanapima gari lako kwa kutumia diagnosis machine hivo utajua tatizo la gali lako na utajua nini kinatakiwa kurekebishwa +255710600608Nina kagari kangu kanatatizo kwa muda sasa, ninapokua naendesha halafu wakati niko kwenye mwendo kuna wakati engine inakua kama inajipinguza speed (Rpm) na nikiachia accelarator pedal gari inakua nzito kama inajipiga stop engine hivi kwa muda then inaacha, na pia wakati nimesimama kwenye foleni, wakati wa kuondoka gari inakuwa nzito na sluggish, yaan inachelewa kuchanganya tofauti na ilivyokuwa awali. Nilishabadilisha Curburator (Throttle body complete), 'speed sensor' za kwenye gear box, na hata 'fuel filter' ya kwenye tank la mafuta nilisafisha pia. Sasa hii hali bado inaendelea na inanikera mno, nisaidieni kwa wenye utaalam na haya mambo.
Gari ni Toyota saloon car, automatic transmission.(Brevis)
Hivi Mkuu gari Ikiandika O/D OFF maana yake nini???Kwangu naona ni kama LOSS OF COMPRESION POWER.... Inaweza ikawa piston rings zinapitisha..Lakini hii angalia kama gari inatoa moshi mweupe