FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #41
Hiyo maana yake umebonyeza kile kitufe cha OVER DRIVE (O/D) na kukiweka kwenye OFF position, kibonyeze tena ili kikae kwenye ON position na hiyo warning light itaondoka, unless kuna tatizo lingine la umeme.Hivi Mkuu gari Ikiandika O/D OFF maana yake nini???
Kama gari haina PORT ya ku-CONNECT hiyo machine yao ili ifanye hiyo diagnosis, ni sawa na kutaka kuweka flash kwenye laptop wakati huna port ya flash.....Watafufe hawa NP. Wako Temeke vetenari wanapima gari lako kwa kutumia diagnosis machine hivo utajua tatizo la gali lako na utajua nini kinatakiwa kurekebishwa +255710600608View attachment 891835
Mkuu hujamuelewa nini hasa anataka....Hiyo maana yake umebonyeza kile kitufe cha OVER DRIVE (O/D) na kukiweka kwenye OFF position, kibonyeze tena ili kikae kwenye ON position na hiyo warning light itaondoka, unless kuna tatizo lingine la umeme.
Ni kweli mkuu, piston number 1 ilikuwa inapitisha oil kwenye combustion chamber hivyo kulowesha plug na kuharibu rythm ya uchomaji mafuta..Kwangu naona ni kama LOSS OF COMPRESION POWER.... Inaweza ikawa piston rings zinapitisha..Lakini hii angalia kama gari inatoa moshi mweupe