Msaada: Gari inawaka ila taa zote haziwaki na pia inapiga sailensa

Msaada: Gari inawaka ila taa zote haziwaki na pia inapiga sailensa

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1,038
Reaction score
621
Wakuu gari nawasha sasa hivi inawaka ila taa zote haziwak na pia inapiga sailensa,msaada wako tatzo nn gar ni brevis
 
Yaan inawaka ila dashboard haiwak na gear haitak kuingia
 
Yaan inawaka ila dashboard haiwak na gear haitak kuingia
Hapo inamaana kuna fuse zimeungua.ikiwa pamoja na fuse ya taa za brake ndio maana gear river haitembei.

Ukitaka kuamini hivyo kanyaga brake harafu angalia taa za nyuma kama zinawaka.
 
Hapo inamaana kuna fuse zimeungua.ikiwa pamoja na fuse ya taa za brake ndio maana gear river haitembei.

Ukitaka kuamini hivyo kanyaga brake harafu angalia taa za nyuma kama zinawaka.
Nikwel kabsa mkuu maana chanzo nikubadil betri jamaa wakatofautisha hasi na chanya kuja kuweka sawa gari inawaka ila ndan kwa dashboard haziwak.we ni mkali mkuu
 
Duuuh na hali hii ntaweza kununua kwel maana mshahara nimelipa ada
 
Tafuta used unawezapata kwa bei ya chini tu mafundi wa umeme wa magari huwa wanazo
Unaweza ukabashiri kama mganga wa kienyej inakua shs ngap mkuu maana kama niaze kuuza kuku Wang mapema
 
Back
Top Bottom