Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu gari nawasha sasa hivi inawaka ila taa zote haziwak na pia inapiga sailensa,msaada wako tatzo nn gar ni brevis
Nikwel kabsa mkuu maana chanzo nikubadil betri jamaa wakatofautisha hasi na chanya kuja kuweka sawa gari inawaka ila ndan kwa dashboard haziwak.we ni mkali mkuu
Mkuu ni kweli kabisa nimetumia elf tano kabadilisha fuse moja kitu kiko hewanNi tatizo dogo hilo mkuu acha kujipa pressure hapo kuna main fuse imekata.na ndio kazi ya fuse hiyo.imefanya kazi yake hapo.unajipa pressure hapo spea hazitazidi hata elfu 15.kama imekata fuse kubwa.lkn kama ni ndogo bei yake ni mia 5 tuu
Duuuh nna mwaka wa pili mkuu labda kwa dua zako mkuu,made in Japan kitu toka Yokohama motors
Nikwel kabsa mkuu maana chanzo nikubadil betri jamaa wakatofautisha hasi na chanya kuja kuweka sawa gari inawaka ila ndan kwa dashboard haziwak.we ni mkali mkuu
Mkuu nashukuru kitu kimewaka nimebadili fuse tuMmh, omba isiwe imepiga shoti system nzima maana itakuwa hatari. Kuna rafiki yangu alikuwa anaiboost battery akachanganya terminals, mbona aliisoma namba maana ni kama aliiparalaizisha.
Mkuu mchina wangu kawaka tatizo ni fuse tu na gharama yake 5000,
Mkuu naona unapenda sana neno BOMU na ujue hapa ni tz aman imetawala
Duuuh na hali hii ntaweza kununua kwel maana mshahara nimelipa ada
Relay pesa ndogo sanaaaMkuu nitaweza kweli kununua hicho kitu. Na hali hii