Msaada: Gari inawaka ila taa zote haziwaki na pia inapiga sailensa

Nimezma mkuu alaf mbya zaid imezingua kwa mchepuko hapa natafakar nirud VP kwa mwenye nyumba

Safi sana nyambafu !!! [emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe uko kwa mchepuko? Inamaana yule uliyemuweka ndani hana thamani au ulimuowa bila kuridhia mapungufu yake?
 
Nadhani utanunua fuse 2 kwa shiling 8000 na fundi hapo utamalizana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…