Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,390
- 2,396
Wakuu naomba msaada kwa Changamoto ya gari yangu ambayo inachangamoto ya kushutuka na kama kukwama kwama ikiwa intembea kwenye mwendo wa kati ya 20 hadi 40km/h, gari Nissan Xtrail - NT31, mwanzoni mafundi walizani ni missing zinazobabishwa na spark Plug, nilibadili plug lakini tatizo halikuisha.
Fundi Mwengine akasema inawezekana Fuel Filter haichuji vizuri, nimebadili fuel filter lakini tatizo halijaisha wakuu. Gari ikiwa kwenye speed kuvuka 60km/h husikii ikishtuka, ila ukiwa kwenye mwendo mdogo tu gari inakua inashtuka shtuka.
Binafsi nahisi hii Changamoto inaweza kuwa inasababishwa tatizo la Transmission naomba wenye uzoefu mnipe msaad wakuu.