Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 510
- 871
Habarini wakuu, nina gari Toyota Vits RS Manual Transmission. Hii gari ina matatizo yafuatayo:
1.Ina miss ambayo haiishi. Nimesafisha nozzel na plug zote ziko poa.
2. Ukiwasha gari asubuhi RPM inashuka mpaka inazima. Nimeshafanya adjustment ya silencer lakini ikikaa muda inashuka mpaka gari inazima na check engine inawaka baada ya kutembea umbali fulani shida inaweza kuwa nini maana
Mkuu kama taa ya check engine inawaka ni Bora ukafanye diagnosis kuliko kubahatisha...
Unaweza kumaliza pesa nyingi Kwa TATIZO dogo Sana maana kila mtu atakushauri anavyojua yeye.
Kama unahitaji diagnosis nichekiSawa mkuu ntafanya hvyo
Kama unahitaji diagnosis nicheki
Mara nyingi dalili izi ni tatizo la MAF, badili iyo sensor tatizo litaishaHabarini wakuu, nina gari Toyota Vits RS Manual Transmission. Hii gari ina matatizo yafuatayo:
1.Ina miss ambayo haiishi. Nimesafisha nozzel na plug zote ziko poa.
2. Ukiwasha gari asubuhi RPM inashuka mpaka inazima. Nimeshafanya adjustment ya silencer lakini ikikaa muda inashuka mpaka gari inazima na check engine inawaka baada ya kutembea umbali fulani shida inaweza kuwa nini maana
Mkuu kwa maelezo yako hayo hapo unashida kama mbili au tatu.Habarini wakuu, nina gari Toyota Vits RS Manual Transmission. Hii gari ina matatizo yafuatayo:
1.Ina miss ambayo haiishi. Nimesafisha nozzel na plug zote ziko poa.
2. Ukiwasha gari asubuhi RPM inashuka mpaka inazima. Nimeshafanya adjustment ya silencer lakini ikikaa muda inashuka mpaka gari inazima na check engine inawaka baada ya kutembea umbali fulani shida inaweza kuwa nini maana
Huu ni ushauri mzuri sana. Infact kama hataki kumaliza pesa yake, apeleka gari yake garage kubwa au kule toyota kabisa. Hii itamuokoa kupata stress,kuliwa hela bila sababu za msingi! Kuna jamaa yangu alinusurika kununulishwa control box kwa 1.5 kumbe tatizo ni mafundi wenyewe wameshindwa kuweka timing chain kiusahihi na wameshinda nayo wiki nzima! Wakati anahangaika kutafuta control box kuna fundi akamwambia lete nikuangalizie hiyo ina tatizo gani; kucheki akasema iko poa haina shida yoyote, twende nikakufanyie diagnosis gari yako nijue ina shida gani akagundua ni timing chain wameshindwa kuiweka inavotakiwa.Mkuu kama taa ya check engine inawaka ni Bora ukafanye diagnosis kuliko kubahatisha...
Unaweza kumaliza pesa nyingi Kwa TATIZO dogo Sana maana kila mtu atakushauri anavyojua yeye.
Mafundi wa mtaani nawajua nduguu!! Kazi Yao kubwa ni kubahatisha Tu ingawa baadhi Yao wanapatia ufumbuzi wa TATIZO....Ila Kwenye mambo ya engine ni Bora kwenda Kwenye diagnosis unapata jibu la uhakikaHuu ni ushauri mzuri sana. Infact kama hataki kumaliza pesa yake, apeleka gari yake garage kubwa au kule toyota kabisa. Hii itamuokoa kupata stress,kuliwa hela bila sababu za msingi! Kuna jamaa yangu alinusurika kununulishwa control box kwa 1.5 kumbe tatizo ni mafundi wenyewe wameshindwa kuweka timing chain kiusahihi na wameshinda nayo wiki nzima! Wakati anahangaika kutafuta control box kuna fundi akamwambia lete nikuangalizie hiyo ina tatizo gani; kucheki akasema iko poa haina shida yoyote, twende nikakufanyie diagnosis gari yako nijue ina shida gani akagundua ni timing chain wameshindwa kuiweka inavotakiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa maelezo yako hayo hapo unashida kama mbili au tatu.
Ishu ya silensa na ukiwasha asubuhi inazima hapo kuna switch inaitwa IDLE SWITCH ndio shida na shida yenyewe lazima itakuwa chafu ingekuwa imekufa ingekuwashia taa ya check engine..hiyo switch inapatikana kwenye throttle body/batter fly..
Hiyo ndio kazi yake kubalans silensa na kuongeza silensa asubuhi au gari ikiwa ya baridi au ukiwasha AC au ukiipa mzigo engine kama ukiweka gear yenyewe inaongeza silens ili kubalans..
Ishu ya hard start umesafisha nozel lkn umesahau petrol filter.. kwanza hapo kuna mawili yaweza kuwa petrol filter chafu sana au mfumo wa mafuta ushachokonolewa hivyo mafuta yanakuwa yana return kwenye tank.hivyo unavyo park gari mda mrefu mafuta yanaludi kwenye tank yote na unavyowasha yanakuwa yanaanza safari na moya yajae kwenye filter kisha yafanye safari mpaka kufika kwenye nozeli lazima gari iwe na hard start mkuu..
Anza na hivyoo kwanza
Mie pia Nina tatizo kama lako . Ila mie gari yangu automatic.Asante sana mkuuu...unapatikana wap??? Ni pm namba zako halafu ukitembea baada ya muda check ENGINE inawaka
K vant
Dar es salaam mwenge #0627136700 karibu sana JO AUTO TECH.Asante sana mkuuu...unapatikana wap??? Ni pm namba zako halafu ukitembea baada ya muda check ENGINE inawaka
K vant
Mkuu tatizo lako itakuwa ni piston ring zimeisha kwenye engineNIMEFANYA DIAGNOSIS LAKIN HALIJAONESHA KAMA KUNA TATIZO ILA CHECK ENGINE INAWAKA FUNDI AKACHEK FUEL PUMP KUNA KIRABA KIMELIKA HAKIZUII MAFUTA VZURI NDO CHA KUBADILISHA
K vant
Embu jaribu kuwasha huku unakanyaga accelerator,alafu unipe mrejesho tujue wapi pa kuanziaHabarini wakuu, nina gari Toyota Vits RS Manual Transmission. Hii gari ina matatizo yafuatayo: