mashi ga ngoko
Member
- Jul 15, 2018
- 96
- 50
- Thread starter
-
- #21
OK,ni vema ukatoa sifa za engine hapa kwanza ikiwezekana weka na picha mkuu.Baada ya hapo nitakuja PMNjoo pm nikuuzie engine complete mm ninayo sema gari yangu iliingia mtaroni (ajali) lkn engene jino moja unatembea njoo tuongee biashara
Nahitaji ushauri wa kitaalamu ndugu au ushauri mwingine mzuri.Peleka "scrap yard" tu.
Hilo gari utakutana lilikuja nyumba. Walio litumia huko wamechoka nalo, aliyekuuzia wewe kalitumia hapa kachoka nalo. Hilo ni "scrap".
Samahani lakini huo ndiyo ukweli.
Ingawa huo unauona si ushauri wa kitaalaam na si mzuri lakini nnakuhakikishia huo ndiyo ushauri mzuri wa kipekee. Uza. Hata ukishatengeneza bado uza.Naj
Nahitaji ushauri wa kitaalamu ndugu au ushauri mwingine mzuri.
shida waliokaribu nasi hawataki kutuuzia,pesa ya kwenda Show Room hatunaMkuu, usipende kununua magar kwa mtu usiemfahamu au hujui historia ya gar
Ipo siku ataukumbuka ushauri wako, kibaya zaidi gari litakuwa haliuziki tenaIngawa huo unauona si ushauri wa kitaalaam na si mzuri lakini nnakuhakikishia huo ndiyo ushauri mzuri wa kipekee. Uza. Hata ukishatengeneza bado uza.
Coolant unaingia mahali isipostahili na hvyo kuchanganyikana na oil matokeo yake engine oil inakuwa kama na mwonekano wa milk;ambapo itapelekea kuharibika kwa cylinder head because oil inapochanganyikana na maji inapoteza Ile lubricating function na kupelekea vyuma kusagana;kwa ushauri don't drive your car anymore Ili kupunguza damage mpaka utakapopata mtaalam sahihi na suluhisho kiujumlaMiezi mitano iliyopita nimenunua gari aina ya Corolla 111 kutoka mikononi kwa mtu,mwezi uliopita ilipata tatizo la kuchemsha na kuchanganya oil na maji baada ya kukikimbia umbali mrefu kutoka Dar - Moro,fundi alitengeneza cylinder head na kuirudishia japokuwa gari likawa halina nguvu.Baada ya hapo wiki mbili zilizopita ilipatwa na tatizo la kunoc engine yaani injini ilikua inagonga,fundi anasema niliendesha bila kuweka oili lakini ukiangalia oil stick inaonyesha oil ipo nyingi tu umeshuka kigogo kwenye FULL lkn fundi anaiambia kuwa haitakiwi kushuka hata kidogo.
Tatizo jingine gari linakunywa maji si mchezo yaani kila niendesha umbali wa KM 40 - 50 ukicheki maji yanakua yamepungua kama kiasi cha nusu lita hivi inanilazimu niongeze wakati wengine nawaona hawaongezi maji mara kwa mara.
Naombeni uzoefu wenu juu ya hili.
Pia naombeni ushuhuda kama kuna mtu alishawahi kupeleka gari lake kwa wachina likiwa na tatizo kama langu naomba msaada wa mawasiliano wanapopatikana na ushuhuda wa kutengenezewa gari lake na kupona,pia gharama nipo tayari kugharamia.
Yan ni kama kamali bora ujilipue tu mbele huko.Hapo ndiyo huwa nafikiria mara mbili mbili kununua gari alilokwishatumia Mbongo.
Halafu huko mbele kuna magari ya bei rahisi sawa na bei watu wanayopigwa hapa bongo...Yan ni kama kamali bora ujilipue tu mbele huko.
Aisee....huyu mwenye hili gari angefuata tu ushauri wa wadau..anunue engine used ndiyo salama yake..Cylinder head gasket badirisha kisha nunua spark plugs mpya shusha radiator isafishwe au nunua mpya tu kisha waterpump tizama kama ipo poa.. na pembeni mwa engine kuna vikombe kama havijaoza vitizamwe vibadilishwe maana huwa vinavujisha sana maji na pipe's za maji kama zimechakaa change.. tatizo lazima liishe hapo...
Kweli aisee yan wabongo sisi aliyeturoga Mungu anamuona! unakuta mtu anauziwa gari iliyotumika hapa mil 13 kisa namba D wakati ukiagiza unapata kwa m 11.5 hivi! Siku izi gari ndani ya mwezi tu limeshatua bongo. Kingine wabongo tunavishana makanyaboya sana uaminifu ni mdogo mno , nenda instagram na kwingineko huko karibia gari nyingi kama sio zote zinazotangazwa zimetembea chini ya km 100000!!!!!! Kitu ambacho ni nadra kuwa ivyo, Ukitaka kununua nunua kwa unayemfaham ikiwezekana short history ya hiyo gari uwe unaifaham vinginevyo ni kubahatisha tu.Halafu huko mbele **** magarinya bei rahisi sawa na bei watu wanayopigwa hapa bongo...
Eti mtu anashindwa kuvumilia miezi 3 meli ifike Dar..
Sidhan kama unachosema kina chembe ya usahihi;most of the time watu wanaonunua magari mikononi ni wake wasiokuwa na uwezo wa kuagiza Japan kwa maana hela yao ni pungufu;for that difference uliyoitaja inatosha mtu kwenda showroom;hvyo kauli yako inatosha kukosa uhalisiaKweli aisee yan wabongo sisi aliyeturoga Mungu anamuona! unakuta mtu anauziwa gari iliyotumika hapa mil 13 kisa namba D wakati ukiagiza unapata kwa m 11.5 hivi! Siku izi gari ndani ya mwezi tu limeshatua bongo. Kingine wabongo tunavishana makanyaboya sana uaminifu ni mdogo mno , nenda instagram na kwingineko huko karibia gari nyingi kama sio zote zinazotangazwa zimetembea chini ya km 100000!!!!!! Kitu ambacho ni nadra kuwa ivyo, Ukitaka kununua nunua kwa unayemfaham ikiwezekana short history ya hiyo gari uwe unaifaham vinginevyo ni kubahatisha tu.
Aisee tutabishana mpak kesho mi sizungumzii magari yanayouzwa mil 4, 5 au 6. Labda hukuelewa vizuri boss kuna gari zinauzwa za mkononi bei juu kama kupungua inaweza pungua kidogo tu kama 500000 tu au sawa na ukiagiza. Upo sawa kwa zile gari za kukesha kwa mafundi we zinauzwa had mil 2.5Sidhan kama unachosema kina chembe ya usahihi;most of the time watu wanaonunua magari mikononi ni wake wasiokuwa na uwezo wa kuagiza Japan kwa maana hela yao ni pungufu;for that difference uliyoitaja inatosha mtu kwenda showroom;hvyo kauli yako inatosha kukosa uhalisia