Msaada gari langu linanisumbua

Msaada gari langu linanisumbua

Njoo pm nikuuzie engine complete mm ninayo sema gari yangu iliingia mtaroni (ajali) lkn engene jino moja unatembea njoo tuongee biashara
OK,ni vema ukatoa sifa za engine hapa kwanza ikiwezekana weka na picha mkuu.Baada ya hapo nitakuja PM
 
Naj
Peleka "scrap yard" tu.

Hilo gari utakutana lilikuja nyumba. Walio litumia huko wamechoka nalo, aliyekuuzia wewe kalitumia hapa kachoka nalo. Hilo ni "scrap".

Samahani lakini huo ndiyo ukweli.
Nahitaji ushauri wa kitaalamu ndugu au ushauri mwingine mzuri.
 
Mkuu, usipende kununua magar kwa mtu usiemfahamu au hujui historia ya gar
 
Pole ndugu yangu hiyo gari naifahmu vizuri sana maana nimeitumia zaid ya miaka8 nimeiuza majuzi tu kwanza angalia semost kama iko vuzuri maana ikifa lazima gari kitachemsha tu cha pili angalia rejeta kama imeziba maana ikiziba gari itachemsha pia cha 3 tafuta fundi mzuri wa engine afungue tena hiyo gari kama kuna magari mazuri bac ni corolla 111
 
Ingawa huo unauona si ushauri wa kitaalaam na si mzuri lakini nnakuhakikishia huo ndiyo ushauri mzuri wa kipekee. Uza. Hata ukishatengeneza bado uza.
Ipo siku ataukumbuka ushauri wako, kibaya zaidi gari litakuwa haliuziki tena
 
Miezi mitano iliyopita nimenunua gari aina ya Corolla 111 kutoka mikononi kwa mtu,mwezi uliopita ilipata tatizo la kuchemsha na kuchanganya oil na maji baada ya kukikimbia umbali mrefu kutoka Dar - Moro,fundi alitengeneza cylinder head na kuirudishia japokuwa gari likawa halina nguvu.Baada ya hapo wiki mbili zilizopita ilipatwa na tatizo la kunoc engine yaani injini ilikua inagonga,fundi anasema niliendesha bila kuweka oili lakini ukiangalia oil stick inaonyesha oil ipo nyingi tu umeshuka kigogo kwenye FULL lkn fundi anaiambia kuwa haitakiwi kushuka hata kidogo.
Tatizo jingine gari linakunywa maji si mchezo yaani kila niendesha umbali wa KM 40 - 50 ukicheki maji yanakua yamepungua kama kiasi cha nusu lita hivi inanilazimu niongeze wakati wengine nawaona hawaongezi maji mara kwa mara.

Naombeni uzoefu wenu juu ya hili.
Pia naombeni ushuhuda kama kuna mtu alishawahi kupeleka gari lake kwa wachina likiwa na tatizo kama langu naomba msaada wa mawasiliano wanapopatikana na ushuhuda wa kutengenezewa gari lake na kupona,pia gharama nipo tayari kugharamia.
Coolant unaingia mahali isipostahili na hvyo kuchanganyikana na oil matokeo yake engine oil inakuwa kama na mwonekano wa milk;ambapo itapelekea kuharibika kwa cylinder head because oil inapochanganyikana na maji inapoteza Ile lubricating function na kupelekea vyuma kusagana;kwa ushauri don't drive your car anymore Ili kupunguza damage mpaka utakapopata mtaalam sahihi na suluhisho kiujumla
 
Hapo ndiyo huwa nafikiria mara mbili mbili kununua gari alilokwishatumia Mbongo.
 
Cylinder head gasket badirisha kisha nunua spark plugs mpya shusha radiator isafishwe au nunua mpya tu kisha waterpump tizama kama ipo poa.. na pembeni mwa engine kuna vikombe kama havijaoza vitizamwe vibadilishwe maana huwa vinavujisha sana maji na pipe's za maji kama zimechakaa change.. tatizo lazima liishe hapo...
 
Yan ni kama kamali bora ujilipue tu mbele huko.
Halafu huko mbele kuna magari ya bei rahisi sawa na bei watu wanayopigwa hapa bongo...
Eti mtu anashindwa kuvumilia miezi 3 meli ifike Dar..
 
Cylinder head gasket badirisha kisha nunua spark plugs mpya shusha radiator isafishwe au nunua mpya tu kisha waterpump tizama kama ipo poa.. na pembeni mwa engine kuna vikombe kama havijaoza vitizamwe vibadilishwe maana huwa vinavujisha sana maji na pipe's za maji kama zimechakaa change.. tatizo lazima liishe hapo...
Aisee....huyu mwenye hili gari angefuata tu ushauri wa wadau..anunue engine used ndiyo salama yake..

Vinginevyo mafundi watamlia pesa mpaka achanganyikiwe.....

Kununua gari kwa mbongo inahitaji knowledge ya hali ya juu...
 
Halafu huko mbele **** magarinya bei rahisi sawa na bei watu wanayopigwa hapa bongo...
Eti mtu anashindwa kuvumilia miezi 3 meli ifike Dar..
Kweli aisee yan wabongo sisi aliyeturoga Mungu anamuona! unakuta mtu anauziwa gari iliyotumika hapa mil 13 kisa namba D wakati ukiagiza unapata kwa m 11.5 hivi! Siku izi gari ndani ya mwezi tu limeshatua bongo. Kingine wabongo tunavishana makanyaboya sana uaminifu ni mdogo mno , nenda instagram na kwingineko huko karibia gari nyingi kama sio zote zinazotangazwa zimetembea chini ya km 100000!!!!!! Kitu ambacho ni nadra kuwa ivyo, Ukitaka kununua nunua kwa unayemfaham ikiwezekana short history ya hiyo gari uwe unaifaham vinginevyo ni kubahatisha tu.
 
Sidhan kama unachosema kina chembe ya usahihi;most of the time watu wanaonunua magari mikononi ni wake wasiokuwa na uwezo wa kuagiza Japan kwa maana hela yao ni pungufu;for that difference uliyoitaja inatosha mtu kwenda showroom;hvyo kauli yako inatosha kukosa uhalisia
 
Niliwahi kuwa na gari Vitz Old model ilikuwa na changamoto kama hizo zako, Ili sumbu sana na Kutumia pesa nyingi.
Vitu vyote walivyoshauri wengine hapo awali vitakupotezea pesa na Mda, Cha msingi hapo ni kushusha Engine mapema kabla haija haribu mifumo mengine Kama Gearbox na Cooling system..
Nunua Engine mpya hata ya Mtumba lakini iliyokatika hali nzuri, nakuambia hautajutia maamuzi yako! Kingine Maji hayapozi gari, Tumia Coolant: ni mchanganyiko wa dawa na maji kidogo kwa ajili ya kupoozea Maji kwa njia ya Rejeta.
 
Hata ukimaliza kulifix utajikuta umeingia gharama sawa na kununu engine. Pachika engine nyengine tu achana nayo.
 
Sidhan kama unachosema kina chembe ya usahihi;most of the time watu wanaonunua magari mikononi ni wake wasiokuwa na uwezo wa kuagiza Japan kwa maana hela yao ni pungufu;for that difference uliyoitaja inatosha mtu kwenda showroom;hvyo kauli yako inatosha kukosa uhalisia
Aisee tutabishana mpak kesho mi sizungumzii magari yanayouzwa mil 4, 5 au 6. Labda hukuelewa vizuri boss kuna gari zinauzwa za mkononi bei juu kama kupungua inaweza pungua kidogo tu kama 500000 tu au sawa na ukiagiza. Upo sawa kwa zile gari za kukesha kwa mafundi we zinauzwa had mil 2.5
 
Back
Top Bottom