Msaada gari langu linanisumbua

Yupo sahihi sana ...soma vizuri alichoandika....
Mtumba wa Japan unakuta una mileage 100k na zaidi....
Eti mtumba wa bongo ambao ulitolewa Japan una chini ya 100k...

Tujitafakari mara mbili mbili
 
Duh!
 
Hapa Bongo ukinunua gari Dar lichukue uliendeshe mwenyewe ukafanye malipo Huko musoma,Uganda n.k hapo huwezi juta!
 
Yupo sahihi sana ...soma vizuri alichoandika....
Mtumba wa Japan unakuta una mileage 100k na zaidi....
Eti mtumba wa bongo ambao ulitolewa Japan una chini ya 100k...

Tujitafakari mara mbili mbili
Soma tena utaelewa nilichokijibu
 
Aisee....huyu mwenye hili gari angefuata tu ushauri wa wadau..anunue engine used ndiyo salama yake..

Vinginevyo mafundi watamlia pesa mpaka achanganyikiwe.....

Kununua gari kwa mbongo inahitaji knowledge ya hali ya juu...
Engine zingine nazo unaweza kuta majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…