Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Yupo sahihi sana ...soma vizuri alichoandika....Sidhan kama unachosema kina chembe ya usahihi;most of the time watu wanaonunua magari mikononi ni wake wasiokuwa na uwezo wa kuagiza Japan kwa maana hela yao ni pungufu;for that difference uliyoitaja inatosha mtu kwenda showroom;hvyo kauli yako inatosha kukosa uhalisia
Mtumba wa Japan unakuta una mileage 100k na zaidi....
Eti mtumba wa bongo ambao ulitolewa Japan una chini ya 100k...
Tujitafakari mara mbili mbili