vigar vdogo vya diesel vitamu sana hcho ki ford figo kimjin mjin 22.6km/l, high way 25.5km/l .
Mh gari za show room ndugu yangu...!!!Kama unajua mkuu Show room gani bongo zinapatikana hizi gari nimejaribu kama sehem kadhaa hivi sijaziona kabisa..
Uk wanatumia right hand mkuuVW GOLF GT TDi zipo za diesel nyingi ni lefthand coz ni za UK
Sio kweli labda kwa magari makubwahv ni kwel gari zinazotumia diesel zinachelewa kuchanganya mwendo?
Uk wanatumia right hand mkuu
kwa hapa bado cjajua. na je kuagiza vp?