Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,512
- 2,712
Mkuu umeshanunua Gari!!?? Kumbe. ??! Rejea Uzi wako ulipataje Gari yako ya kwanza.!!?Hiyo gari sio mpya ni used. Ungewtuwekea imetembea kilomita ngapi sio namba za gari. Mie nina gari imetembea kilomita laki mbili na kadhaa nchi za wenyewe ila kwa bongo ina namba DMD