Aina gani ya gari. Je huo mshituko ni sawa ule unaotokea wakati umebadili gear lever kutoka D kwenda R?Habari
Gari inapokuwa kwenye mwendo nikaachia accelerator bila kufunga brake halafu nikikanyaga tena gari inastuka. tatizo ni nini. hali hyo haionekani ikiwa gari inaanzia kwenye kusimama.
Asante
Ni Honda fit. Hakuna mlio wowote wakati wa kubadilisha kutoka D kwenda R au kwenda P, N,D, S, L. hakuna mlio wowoteAina gani ya gari. Je huo mshituko ni sawa ule unaotokea wakati umebadili gear lever kutoka D kwenda R?
Nina voxy hapa aisee ninapo ingage gia kutoka P to D au R gari inashtuka hatari fundi katizana mountings za gear box na engine zipo sawa msaada tafadhar
Fundi alishauri nibadili hydraulic ya gearbox na nikafanya service ya engine oil lakin bado yani ukiwa una ingia kwenye D au R gari ina ruka nadhan hata fundi mwenyewe ahajui tatizo sasa nisaidieni hapa ili nikamuelekeze fund aanze na wapi maana naona yeye ashachemka kubain tatizo maana aliyo yadhania yote hayajazaa matundaPunguza idle speed au ongeza oil au vyote kwa pamoja.
Fundi alishauri nibadili hydraulic ya gearbox na nikafanya service ya engine oil lakin bado yani ukiwa una ingia kwenye D au R gari ina ruka nadhan hata fundi mwenyewe ahajui tatizo sasa nisaidieni hapa ili nikamuelekeze fund aanze na wapi maana naona yeye ashachemka kubain tatizo maana aliyo yadhania yote hayajazaa matunda
Sio umeme bhana haiusiani na control box[emoji3][emoji3]Gia box hiyo! Kwenye upande wa umeme!! Kuna kibox Cha control box tatizo lipo hapo!!
Kuna kitu kinaitwa maunten gear box nenda kwa fundi zibadilishwe zimefika mda wake .Habari
Gari inapokuwa kwenye mwendo nikaachia accelerator bila kufunga brake halafu nikikanyaga tena gari inastuka. tatizo ni nini. hali hyo haionekani ikiwa gari inaanzia kwenye kusimama.
Asante
Mounting zote ni mpya boss. Zena wiki 2Kuna kitu kinaitwa maunten gear box nenda kwa fundi zibadilishwe zimefika mda wake .
Mdau bapo juu kasema control box sio kweli haiusiani na hilo tatizo
Rudi kwa fundi mwambie zinagonga na abadilishe play zinaweza kuwa alivyokuwa anaweka alibinya vibaya ikifinywaMounting zote ni mpya boss. Zena wiki 2
okRudi kwa fundi mwambie zinagonga na abadilishe play zinaweza kuwa alivyokuwa anaweka alibinya vibaya ikifinywa
Check diff mounting bush zake zimekufa.Mounting zote ni mpya boss. Zena wiki 2