Msaada: Gari yangu inashtuka napoachia accelerator na napokanyaga

Lipugwaju

Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
60
Reaction score
83
Habari

Gari inapokuwa kwenye mwendo nikaachia accelerator bila kufunga brake halafu nikikanyaga tena gari inastuka. tatizo ni nini. hali hyo haionekani ikiwa gari inaanzia kwenye kusimama.

Asante
 
Gia box hiyo! Kwenye upande wa umeme!! Kuna kibox Cha control box tatizo lipo hapo!!
 
Asante Sana boss.
Ila kama inawezekana ungefafanua kidogo kwa ajili ya kujenga uelewa
natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Habari

Gari inapokuwa kwenye mwendo nikaachia accelerator bila kufunga brake halafu nikikanyaga tena gari inastuka. tatizo ni nini. hali hyo haionekani ikiwa gari inaanzia kwenye kusimama.

Asante
Aina gani ya gari. Je huo mshituko ni sawa ule unaotokea wakati umebadili gear lever kutoka D kwenda R?
 
Nina voxy hapa aisee ninapo ingage gia kutoka P to D au R gari inashtuka hatari fundi katizana mountings za gear box na engine zipo sawa msaada tafadhar
 
Nilikiwa na tatizo hilo pia kwenye gari yangu Subaru Forester 2010, tatizo lilikuwa ni mounting ya gearbox baada ya kubadilisha tatizo limeisha.
 
Punguza idle speed au ongeza oil au vyote kwa pamoja.
Fundi alishauri nibadili hydraulic ya gearbox na nikafanya service ya engine oil lakin bado yani ukiwa una ingia kwenye D au R gari ina ruka nadhan hata fundi mwenyewe ahajui tatizo sasa nisaidieni hapa ili nikamuelekeze fund aanze na wapi maana naona yeye ashachemka kubain tatizo maana aliyo yadhania yote hayajazaa matunda
 
Solutions ni hizo mbili, otherwise kama kuna mount ya gearbox iliyofunguka...
 
Gari inapokuwa kwenye mwendo nikaachia accelerator bila kufunga brake halafu nikikanyaga tena gari inastuka. tatizo ni nini. hali hyo haionekani ikiwa gari inaanzia kwenye kusimama.
 
Habari

Gari inapokuwa kwenye mwendo nikaachia accelerator bila kufunga brake halafu nikikanyaga tena gari inastuka. tatizo ni nini. hali hyo haionekani ikiwa gari inaanzia kwenye kusimama.

Asante
Kuna kitu kinaitwa maunten gear box nenda kwa fundi zibadilishwe zimefika mda wake .
Mdau bapo juu kasema control box sio kweli haiusiani na hilo tatizo
 
Mounting zote ni mpya boss. Zena wiki 2
 
Back
Top Bottom