Msaada: Gari yangu inawasha taa cheki injini na mshale wa speed meter haupandi.

bmz

Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
21
Reaction score
45
Heri ya sikukuu ya muungano. Naombeni msaada wa mawazo ili kurekebisha gari yangu ishu ilikuwa hivi;

Kunasiku huko nyuma gari yangu nilipeleka kwa fundi kufanya service ya vitu vingi kidogo unaweza sema ilikuwa service kubwa yaani ilikuwa zaidi ya kumwaga oil pekeyake. Sasa baada ya hiyo service gari yangu ikawasha taa ya ABS nikamwambia fundi mbona taa ya ABS inawaka wakati hapo mwanzoni haikuwa hivyo akasema ngoja alekebishe lakini hakuweza kuizima basi nikaondoka kwani aliniambia haina shida. Siku chache mbele nikiwa naendesha gari ikawasha taa ya check injini nilikiwa barabarani ikabidi nipaki pembeni ili kuangalia shida nikacheck injini oil ilikiwepo sawa ndipo nilipompigia fundi akasema nimpelekee nami nikafanya hivyo baada ya kufika akachunguza gari hakujua shida ikabidi anishauri tumuite fundi umeme kweli tulifanikiwa kumuita fundi umeme akaja na kufanya eletronic diagnosis na kuclear hiyo shida ya check injini na mshale wa speed meter ukaanza kufanya kazi lakini hakuweza kuzima taa ya ABS basi nikajua shida imeisha. Leo hiyo taa ya check injini imewaka tena na mshale wa speed meter haupandi hatakama nikiwa kwenye mwendo.

Naombeni msaada wa kujua hii kitu inasababishwa na nini pia naomba kujua namna ya kurekebisha hilitatizo lisijirudie tena.

Natanguliza shukrani kwa mawazo na ushauri went.
 
Umeweka maelezo mengi ila umeshindwa kuandika ni gari gani....

Ishu ya Check engine inahusiana na Vehicle speed Sensor[DTC P0500] 99%.

Ishu ya ABS as long as umesema ulifanya service kubwa possibly wameshakata ABS sensor ya kwenye tairi moja wapo.

Ni aina gani ya gari na gari iko wapi?
 
Gari yangu ni T/ Noah old model na iko kibaha .
 
Hapana bosi nilitaka kufikisha ujumbe kwa uwazi zaidi.
 
Back
Top Bottom