Heri ya sikukuu ya muungano. Naombeni msaada wa mawazo ili kurekebisha gari yangu ishu ilikuwa hivi;
Kunasiku huko nyuma gari yangu nilipeleka kwa fundi kufanya service ya vitu vingi kidogo unaweza sema ilikuwa service kubwa yaani ilikuwa zaidi ya kumwaga oil pekeyake. Sasa baada ya hiyo service gari yangu ikawasha taa ya ABS nikamwambia fundi mbona taa ya ABS inawaka wakati hapo mwanzoni haikuwa hivyo akasema ngoja alekebishe lakini hakuweza kuizima basi nikaondoka kwani aliniambia haina shida. Siku chache mbele nikiwa naendesha gari ikawasha taa ya check injini nilikiwa barabarani ikabidi nipaki pembeni ili kuangalia shida nikacheck injini oil ilikiwepo sawa ndipo nilipompigia fundi akasema nimpelekee nami nikafanya hivyo baada ya kufika akachunguza gari hakujua shida ikabidi anishauri tumuite fundi umeme kweli tulifanikiwa kumuita fundi umeme akaja na kufanya eletronic diagnosis na kuclear hiyo shida ya check injini na mshale wa speed meter ukaanza kufanya kazi lakini hakuweza kuzima taa ya ABS basi nikajua shida imeisha. Leo hiyo taa ya check injini imewaka tena na mshale wa speed meter haupandi hatakama nikiwa kwenye mwendo.
Naombeni msaada wa kujua hii kitu inasababishwa na nini pia naomba kujua namna ya kurekebisha hilitatizo lisijirudie tena.
Natanguliza shukrani kwa mawazo na ushauri went.