NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
LATRA ni wahuni, wanafosi hadi zisizo na plate namba za biashara kulipa tozo yao.Nina gari ndogo aina ya Pickup Toyota Hilux.Gari hii ina plate number ya rangi ya njano.Kwa maana hiyo siitumii kwa kufanya biashara yeyote ni yangu tu ya kifamilia.
Naomba kuuliza je gari kama hii inahitaji kulipia LATRA?
Naomba msaada wenu
sasa mkuu umeshasema malori na virikuu hivyo tayari ni biashara sasa mimi sio biashara kabisaLATRA ni wahuni, wanafosi hadi zisizo na plate namba za biashara kulipa tozo yao.
Nimeona huku nilipo maroli ya mchanga na vikirikuu vina stika zao na wamiliki niliwauliza wakaniambia usipolipa ni msala.
Inakanyaga barabarani lakini hata RAV4 Zinakanyaga barabarani naona muelekeo wa swali lakoHiyo hilux yako haikanyagi barabara?
pick up inatakiwa ibebe mizigo, vinginevyo una imis useNina gari ndogo aina ya Pickup Toyota Hilux. Gari hii ina plate number ya rangi ya njano. Kwa maana hiyo siitumii kwa kufanya biashara yoyote ni yangu tu ya kifamilia.
Naomba kuuliza je, gari kama hii inahitaji kulipia LATRA? Naomba msaada wenu.
Bro mimi natoka mkoa tunaojua matumizi ya hizi gari ni kweli nabeba mizigo lakini ni ya kwangu binafsi sifanyi biashara ya kubeba mzigo wa mtu.Ahsante lakini kwa ushauri.pick up inatakiwa ibebe mizigo, vinginevyo una imis use
Ikishakuwa pickup tu,wanaasume kuna wakati utakodishwa,hyo ndio shidasasa mkuu umeshasema malori na virikuu hivyo tayari ni biashara sasa mimi sio biashara kabisa
Kama ni hivyo basi Tanzania ni moja ya nchi yenye usumbufu mkubwa mno kwa raia wake kwa kuwatoza kodi nyingi zisizo na mashiko.Mimi ni mstaafu natumia pickup yangu kubebea mbolea shambani na majani ya ngombe sasa hiyo LATRA nitailipa vipi kwa pension natamani kuhamia nchi nyingine.Ikishakuwa pickup tu,wanaasume kuna wakati utakodishwa,hyo ndio shidaK
Acha tu babanguKama ni hivyo basi Tanzania ni moja ya nchi yenye usumbufu mkubwa mno kwa raia wake kwa kuwatoza kodi nyingi zisizo na mashiko.Mimi ni mstaafu natumia pickup yangu kubebea mbolea shambani na majani ya ngombe sasa hiyo LATRA nitailipa vipi kwa pension natamani kuhamia nchi nyingine.
Ushasema ya Plate number ni Njano sasa unahofu gani?Nina gari ndogo aina ya Pickup Toyota Hilux. Gari hii ina plate number ya rangi ya njano. Kwa maana hiyo siitumii kwa kufanya biashara yoyote ni yangu tu ya kifamilia.
Naomba kuuliza je, gari kama hii inahitaji kulipia LATRA? Naomba msaada wenu.
Siku hizi kuna gari zina yellow plate number na bado zinafanya biashara, mfano hizo kirikuu. Kuna mdau kachangia kwa kusema kwakuwa mdau mwenzetu anatumia pick up wana assume ipo siku atakodishwa ili kuepuka usumbufu basi wanakata kwa kuforceUshasema ya Plate number ni Njano sasa unahofu gani?
Za biashara zinakuwa na Plate number nyeupe
Google LATRA act usomesasa mkuu umeshasema malori na virikuu hivyo tayari ni biashara sasa mimi sio biashara kabisa
Mkuu Tz rafu ni nyingi sana hasa raia wa kawaida asipojikubali kuonewa mambo hayaendiKama ni hivyo basi Tanzania ni moja ya nchi yenye usumbufu mkubwa mno kwa raia wake kwa kuwatoza kodi nyingi zisizo na mashiko.Mimi ni mstaafu natumia pickup yangu kubebea mbolea shambani na majani ya ngombe sasa hiyo LATRA nitailipa vipi kwa pension natamani kuhamia nchi nyingine.
Inategemea yupo upande upi wa Muungano. Kule upande ule, plate # ya NJANO~ CommercialUshasema ya Plate number ni Njano sasa unahofu gani?
Za biashara zinakuwa na Plate number nyeupe
Mi niko upande wa Tanganyika tena wanakofuga sana mifugoInategemea yupo upande upi wa Muungano. Kule upande ule, plate # ya NJANO~ Commercial
Plate # ya WHITE ~Private