Msaada: Gas inaisha haraka sana

Msaada: Gas inaisha haraka sana

Mkuu pole sana, Ila kuna sababu mbalimbali ambazo zaweza sababisha gas kupotea pasipo na matumizi sahihi.
Kwa mfano jiko lako kama linatoa yellow flame this indicates that gas inapotea and blue flame ndio inatakiwa.
Unlike the type of regulator unayotumia ebu cheki kama jiko lako linatoa yellow flame inamaanisha kwamba either kuna uchafu au unatakiwa ukarekebishe control ya oxygen. Kila jiko la gas lina vibati 2 or 1 vinavyo control the amount of oxygen which combines with butane in order to burn. Gas tunayo tumia is called Butane gas (chemical formula CH3CH2CH2CH3) it combines with Oxygen O2 to produce CO2 and H2O if the equation is not in equilibrium you will not get a blue flame. If the amount of Butane gas is more than oxygen jiko lako either halita waka or litatoa yellow flame the same applies the other way round. Vibati chini ya jiko lako vizungushe huku jiko likiwaka untill you get a blue flame. Pia another factor ni the type of regulator unayotumia ebu jaribu kuangalia juu ya regulator yako utakuta kwamba imeandikwa 2kg/hr such types zinatoa gas nyingi sana per hour ndio maana ukipika makande lazima gas itumike nyingi zaidi. Lakini kuna regulator ambazo ni automatic zina detect leakage kama huja connect vyema ikadetect leakage gas haipiti na pia zinaruhusu gas kidogo 1.5kg/hr
Epukeni majiko yanayo waka pembeni na katikati (mfano Majiko ya Nikai) yanatumia gas nyingi. Tumia jiko linalowaka pembeni tu (Mfano majiko ya pigeon na westpoint).
Sijui kama kuna ukweli wowote kwamba gasi zinachakachuliwa. Ila mimi nilisha wahi kwenda oryx nikiwa dar kwenye mizunguko yangu then i happened kuingia kiwandani ndio nikagundua ujangili oryx wanaoufanya. Mitungi haijazwi jinsi inavyo takiwa from kiwandani. Jamaa anae jaza anapanga deal na wenzie then wanapitisha mitungi kadhaa then wanaijaza bila tajiri kujua. Sasa hapa mathematics ndio inatumika. Jamaa anaejaza gas, kama alitakiwa kujaza mitungi 5000 kila mtungi 15kg, anapunguza kama 0.5kg kila mtungi then hizo 2500kg zinajazwa kwenye mitungi yao ya pebeni ambayo tajiri haijui. At the end of the day ni mtumiaji ndio anaeumia. Ebu jiulize kwanini mitungi ya oryx pekee ndio haijazwi vyema? Mbona Mihan gas, Bp Gas, Manjis etc ziko sawa? Kwa upande wangu mimi nadhani tatizo lipo kwa hao oryx wenyewe na sio wauzaji. Utajikuta umetembelea vituo vyote bila kupata result nzuri. Chamsingi kila unaponunua gas sharti upimiwe kwenye digital mizani.
 
Asante sana mkuu nitafanya experiment hizo hopeful nitatoka na jibu! umenikumbusha sana japo theory ya Electrochemistry!
God bless JF.
 
inategemea sana watumiaji.
hapa nimenunua gesi mtungi mkubwa una zaidi ya miezi 6 huwezi amini ila ndivyo ilivyo,
nyama na maharage tunatumia mkaa.
 
Huwa unaupima mtungi wakati unanunua?

Ndugu yangu hata mimi huwa sipimi mtungi wakati wa kununua maana hata hiyo mizani ya kupimia wanyo hawa watu tunaonunua kwao?
KWELI HATA MIMI NAWATILIA MASHAKA SANA HWA WATU WANOTUUZIA HII MITUNGI
 
duh nchi hii kweloi ina mambo!
 
Mkuu pole sana, Ila kuna sababu mbalimbali ambazo zaweza sababisha gas kupotea pasipo na matumizi sahihi.
Kwa mfano jiko lako kama linatoa yellow flame this indicates that gas inapotea and blue flame ndio inatakiwa.
Unlike the type of regulator unayotumia ebu cheki kama jiko lako linatoa yellow flame inamaanisha kwamba either kuna uchafu au unatakiwa ukarekebishe control ya oxygen. Kila jiko la gas lina vibati 2 or 1 vinavyo control the amount of oxygen which combines with butane in order to burn. Gas tunayo tumia is called Butane gas (chemical formula CH3CH2CH2CH3) it combines with Oxygen O2 to produce CO2 and H2O if the equation is not in equilibrium you will not get a blue flame. If the amount of Butane gas is more than oxygen jiko lako either halita waka or litatoa yellow flame the same applies the other way round. Vibati chini ya jiko lako vizungushe huku jiko likiwaka untill you get a blue flame. Pia another factor ni the type of regulator unayotumia ebu jaribu kuangalia juu ya regulator yako utakuta kwamba imeandikwa 2kg/hr such types zinatoa gas nyingi sana per hour ndio maana ukipika makande lazima gas itumike nyingi zaidi. Lakini kuna regulator ambazo ni automatic zina detect leakage kama huja connect vyema ikadetect leakage gas haipiti na pia zinaruhusu gas kidogo 1.5kg/hr
Epukeni majiko yanayo waka pembeni na katikati (mfano Majiko ya Nikai) yanatumia gas nyingi. Tumia jiko linalowaka pembeni tu (Mfano majiko ya pigeon na westpoint).
Sijui kama kuna ukweli wowote kwamba gasi zinachakachuliwa. Ila mimi nilisha wahi kwenda oryx nikiwa dar kwenye mizunguko yangu then i happened kuingia kiwandani ndio nikagundua ujangili oryx wanaoufanya. Mitungi haijazwi jinsi inavyo takiwa from kiwandani. Jamaa anae jaza anapanga deal na wenzie then wanapitisha mitungi kadhaa then wanaijaza bila tajiri kujua. Sasa hapa mathematics ndio inatumika. Jamaa anaejaza gas, kama alitakiwa kujaza mitungi 5000 kila mtungi 15kg, anapunguza kama 0.5kg kila mtungi then hizo 2500kg zinajazwa kwenye mitungi yao ya pebeni ambayo tajiri haijui. At the end of the day ni mtumiaji ndio anaeumia. Ebu jiulize kwanini mitungi ya oryx pekee ndio haijazwi vyema? Mbona Mihan gas, Bp Gas, Manjis etc ziko sawa? Kwa upande wangu mimi nadhani tatizo lipo kwa hao oryx wenyewe na sio wauzaji. Utajikuta umetembelea vituo vyote bila kupata result nzuri. Chamsingi kila unaponunua gas sharti upimiwe kwenye digital mizani.
asante sana mkuu Prime Dynamics kwa maelezo ya kina na yanayobalance pande zote yaani dealers na watumiaji. Hii inaendelea kudhihirisha ukweli unaovumishwa miaka mingi kuwa nyie watu wa kamachumu mna upeo mkubwa 🙂
 
Duuu.Asante kwa Elimu..Hawa ORYX wanatufanyizia kweli..
Vip kuhusu ile tube/pipe pale inapoingilia kweye jiko na inapotoka kwenye regulator..naweza kuzifunga na nini?
 
hiyo pipe ifunge na clamp zinapatikana kwenye maduka ya ujenzi bei haizidi Tsh 300 you need to get 2. Usipo funga na clamp unapoteza gas na pia uzembe unaweza fanyika wakati wa usafi pipe ikachomoka hii ni hatari sana unaweza choma nyumba kama regulator yako sio automatic.
 
Isije ikawa dada wa kazi ukiwa haupo mchana anaalika majirani waje kuivisha haraka ,huku wao wanaangalia tamthilia,fanya uchunguzi,kuna rafiki yangu mmoja yamemkuta.
 
kwasiku 25 sio mbaya sana ila mimi hutumia kama siku 38 hivi na matumizi yangu kwa upishi asilimia kubwa natumia gas ila hawa wauzaji huwa wanachakachua kuna siku inakuwa chini ya 30 hivyo najua kuna mchezo wamenichezea.kingine jiko nalo linaweza kuwa sababu ya kuvujisha kama ni lasiku nyingi.nunua jiko bora usiogope bei kwani ndio yenye matumizi mazuri ya gas.

jamani mimi nimeelewa kwamba kumbe oryx gas wanachakachua ila nasikia bp hawachakachui
je nikitaka kununua bp si itabidi ninunue na mtungi wao?
Au naweza kutumia mtungi wa oryx kununua bp?
Nadhani haitawezekana japo size za mitungi ni sawa nisaidieni wapendwa
nami zamani nilikuwa nakaa na mtungi wa kilo 15 kwa karibu miezi miwili lakini siku hizi ni mwezi na siku chache
ila jiko langu nalo nalitilia masahaka kwenye utoaji wa moto japo ni zuri na la kisasa
 
If you are in Dar utahaigaika sana na mtungi wa BP pia utalazimika kununua regulator ya size 20mm bcoz orxy ni size 22mm. Ila kama unataka kujaribu ujazo wa kampuni nyingine i think go for Mihan Gas huna haja ya kununua a new cylinder you will exchange the cylinder. Pia kila unaponunua gas hakikisha unapimiwa kwenye digital mizani.
 
Mkuu pole sana, Ila kuna sababu mbalimbali ambazo zaweza sababisha gas kupotea pasipo na matumizi sahihi.
Kwa mfano jiko lako kama linatoa yellow flame this indicates that gas inapotea and blue flame ndio inatakiwa.
Unlike the type of regulator unayotumia ebu cheki kama jiko lako linatoa yellow flame inamaanisha kwamba either kuna uchafu au unatakiwa ukarekebishe control ya oxygen. Kila jiko la gas lina vibati 2 or 1 vinavyo control the amount of oxygen which combines with butane in order to burn. Gas tunayo tumia is called Butane gas (chemical formula CH3CH2CH2CH3) it combines with Oxygen O2 to produce CO2 and H2O if the equation is not in equilibrium you will not get a blue flame. If the amount of Butane gas is more than oxygen jiko lako either halita waka or litatoa yellow flame the same applies the other way round. Vibati chini ya jiko lako vizungushe huku jiko likiwaka untill you get a blue flame. Pia another factor ni the type of regulator unayotumia ebu jaribu kuangalia juu ya regulator yako utakuta kwamba imeandikwa 2kg/hr such types zinatoa gas nyingi sana per hour ndio maana ukipika makande lazima gas itumike nyingi zaidi. Lakini kuna regulator ambazo ni automatic zina detect leakage kama huja connect vyema ikadetect leakage gas haipiti na pia zinaruhusu gas kidogo 1.5kg/hr
Epukeni majiko yanayo waka pembeni na katikati (mfano Majiko ya Nikai) yanatumia gas nyingi. Tumia jiko linalowaka pembeni tu (Mfano majiko ya pigeon na westpoint).
Sijui kama kuna ukweli wowote kwamba gasi zinachakachuliwa. Ila mimi nilisha wahi kwenda oryx nikiwa dar kwenye mizunguko yangu then i happened kuingia kiwandani ndio nikagundua ujangili oryx wanaoufanya. Mitungi haijazwi jinsi inavyo takiwa from kiwandani. Jamaa anae jaza anapanga deal na wenzie then wanapitisha mitungi kadhaa then wanaijaza bila tajiri kujua. Sasa hapa mathematics ndio inatumika. Jamaa anaejaza gas, kama alitakiwa kujaza mitungi 5000 kila mtungi 15kg, anapunguza kama 0.5kg kila mtungi then hizo 2500kg zinajazwa kwenye mitungi yao ya pebeni ambayo tajiri haijui. At the end of the day ni mtumiaji ndio anaeumia. Ebu jiulize kwanini mitungi ya oryx pekee ndio haijazwi vyema? Mbona Mihan gas, Bp Gas, Manjis etc ziko sawa? Kwa upande wangu mimi nadhani tatizo lipo kwa hao oryx wenyewe na sio wauzaji. Utajikuta umetembelea vituo vyote bila kupata result nzuri. Chamsingi kila unaponunua gas sharti upimiwe kwenye digital mizani.

Nimepata somo zuri
 
mimi siyo mzoefu sana na haya mambo. ni juzi tu ndiyo nimenunua mtungi
 
Pia wakati wa kununua hakikisha ina seal,maana zingine zinavuja zikiwa kwa dealer. Kuna kamchezo kakuuza mitungi ambayo haijaisha vizuri.Wateja wanarudisha mitungi ambayo bado ina gesi.Si elewi wanapitiwa au ni wafanyakazi wanaowakomoa matajiri wao,lakini swala hilo lipo.Kuna dealer jirani yangu huwa ananipa mitungi ya aina hiyo sana,nampatia elfu tano zingine na kaa nayo hadi mwezi.
 
kupunguza matumizi ya gesi nunua pressure cooker kwa ajili ya kupikia maharage, nyama makande etc
 
aangalie na matumizi yake! Kama wana ratiba ya kula makande mara 4 kwa wiki gas itadumu kweli!?!
Mmmh! ameshasema maharage wanatumia jiko la mkaa automatic hata makande yatapikiwa huko
 
Nunua gesi nyingine tofauti na Oryx.
kwani mitungi mingi na valve za oryx zimechoka tofauti na gesi nyingine kutokana na kuwa na watumiaji wengi na wao ndo waanzilishi.

pia mitungi mingu full ya oryx inauzwa bila seal.
 
Duuu.Asante kwa Elimu..Hawa ORYX wanatufanyizia kweli..
Vip kuhusu ile tube/pipe pale inapoingilia kweye jiko na inapotoka kwenye regulator..naweza kuzifunga na nini?

Horse clamp.JPG
 
Back
Top Bottom