Prime Dynamics
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 551
- 249
Mkuu pole sana, Ila kuna sababu mbalimbali ambazo zaweza sababisha gas kupotea pasipo na matumizi sahihi.
Kwa mfano jiko lako kama linatoa yellow flame this indicates that gas inapotea and blue flame ndio inatakiwa.
Unlike the type of regulator unayotumia ebu cheki kama jiko lako linatoa yellow flame inamaanisha kwamba either kuna uchafu au unatakiwa ukarekebishe control ya oxygen. Kila jiko la gas lina vibati 2 or 1 vinavyo control the amount of oxygen which combines with butane in order to burn. Gas tunayo tumia is called Butane gas (chemical formula CH3CH2CH2CH3) it combines with Oxygen O2 to produce CO2 and H2O if the equation is not in equilibrium you will not get a blue flame. If the amount of Butane gas is more than oxygen jiko lako either halita waka or litatoa yellow flame the same applies the other way round. Vibati chini ya jiko lako vizungushe huku jiko likiwaka untill you get a blue flame. Pia another factor ni the type of regulator unayotumia ebu jaribu kuangalia juu ya regulator yako utakuta kwamba imeandikwa 2kg/hr such types zinatoa gas nyingi sana per hour ndio maana ukipika makande lazima gas itumike nyingi zaidi. Lakini kuna regulator ambazo ni automatic zina detect leakage kama huja connect vyema ikadetect leakage gas haipiti na pia zinaruhusu gas kidogo 1.5kg/hr
Epukeni majiko yanayo waka pembeni na katikati (mfano Majiko ya Nikai) yanatumia gas nyingi. Tumia jiko linalowaka pembeni tu (Mfano majiko ya pigeon na westpoint).
Sijui kama kuna ukweli wowote kwamba gasi zinachakachuliwa. Ila mimi nilisha wahi kwenda oryx nikiwa dar kwenye mizunguko yangu then i happened kuingia kiwandani ndio nikagundua ujangili oryx wanaoufanya. Mitungi haijazwi jinsi inavyo takiwa from kiwandani. Jamaa anae jaza anapanga deal na wenzie then wanapitisha mitungi kadhaa then wanaijaza bila tajiri kujua. Sasa hapa mathematics ndio inatumika. Jamaa anaejaza gas, kama alitakiwa kujaza mitungi 5000 kila mtungi 15kg, anapunguza kama 0.5kg kila mtungi then hizo 2500kg zinajazwa kwenye mitungi yao ya pebeni ambayo tajiri haijui. At the end of the day ni mtumiaji ndio anaeumia. Ebu jiulize kwanini mitungi ya oryx pekee ndio haijazwi vyema? Mbona Mihan gas, Bp Gas, Manjis etc ziko sawa? Kwa upande wangu mimi nadhani tatizo lipo kwa hao oryx wenyewe na sio wauzaji. Utajikuta umetembelea vituo vyote bila kupata result nzuri. Chamsingi kila unaponunua gas sharti upimiwe kwenye digital mizani.