Msaada: Ghafla uume wangu hausimami

Msaada: Ghafla uume wangu hausimami

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Ghafla nimepatwa tatizo uume wangu hausimami, tangia utotoni sijawahi kupatwa na tatizo ili nilikua nikifanya tendo napiga goli 5 za kuunganisha bila kupumzika, nimeoa mwezi wa 8 mwaka jana mke wangu nilikua nampatia bakora za kutosha bila shida kabisa kifupi nilikua na nguvu nyngi tu.

Tatizo limeanza kama wiki 1 imepita ghafla uume haukusimama siku nzima,
kesho yake ikasimama lakini haikua na nguvu sana, kiasi kwamba nikijaribu kuweka inalala tena.

Nisaidieni mke wangu naona anashinda bila raha nyumbani sijui hata anachowaza mke wangu, hata mimi pia nina mawazo mno ukizingatia mke ndo nimemuoa jamani.

Mwenye kujua nianzie wapi anisaidie.
 
Hahahahaha eti mke ndo nimemuoaa.

Usijali,, je kabla ya hiyo hali mlikua mnajamiiana kila mara/siku??/

Kama ndio nilazima upate huo uhanisi unakuaga niwamuda mfupi .

Fanya mazoezi
Kunywa maji
Kula well balanced diet
Matunda .

Jipe muda ,,Siku ukimkaza atakuambia "Asante Baba".
 
Hahahahaha eti mke ndo nmemuoaa.

Usijali,, je kabla ya hiyo hali mlikua mnatombana kila mara/siku??/

Kama ndio nilazima upate huo uhanisi unakuaga niwamuda mfupi .

Fanya mazoezi
Kunywa maji
Kula well balanced diet
Matunda .

Jipe muda ,,Siku ukimkaza atakuambia "Asante Baba".
mke ana shinda bila rah kuomboleza uume wa mume kusimama kwenye bao la pili? jomoni jomoni
 
Kijana sema. Je ulicheza mechi nje ya ndoa baada ya kuoa!?

Maana, familia zingine hawataki ujinga kabisa wa kuchezea Binti yao hata kama umemuoa.

Au kama ulichepuka huko mitaani basi sema.

Ama kati ya mabinti uliokuwa unarukaruka nao yupo aliyekwambia atakufanyia kitu mbaya kama utamwacha na kuoa Binti mwingine!?

Yaani, weka wazi mambo ili wajuvi wakuokoe mapema..
 
Niliwahi kupata hiyo hali almost miezi mitatu hata ikisimana haizidi sekunde kumbe shida ilikuwa stress na kukosa mda wa kupumzika baada ya kazi nzito
 
Gafla nmepatwa tatizo uume wangu hausimami, tangia utoton sijawahi kupatwa na tathzo ili nilikua nikifanya tendo napiga goli 5 za kuunganisha bila kupumzika, nimeoa mwezi wa8 mwaka jana mke wangu nilikua nampatia bakora za kutosha bila shida kabisa kifupi nilikua na nguvu nyngi tu.

Tatizo limeanza kama wiki 1 imepita ghafla uume haukusmama siku nzima,
kesho yake ikasimama lakini haikua na nguvu sana, kiasi kwamba nikijaribu kuweka inalala tena.

Nisaidien mke wangu naona anashinda bila raha nyumbani sijui hata anachowaza mke wangu, hata mimi pia nina mawazo mno ukzngatia mke ndo nimemuoa jamani.

Mwenye kujua nianzie wapi anisaidie.
Kaka,
Punguza mawazo bado una nguvu nyingi mno, kuanzia sasa uwe unafanya mazoezi madogo madogo, kula ndizi za kuiva kuanzia 3 na kuendelea , na kuanzia muda huu navyokushauri acha kunywa maji ya baridi au kinywaji chochote cha baridi, kunywa maji mengi, pia mara kwa mara matikiti maji. Tafadhali usikose kula ndizi za kuiva kila siku na maji mengi na kutafuna tangawizi kila siku mb..oo yako itakuwa imara na kufanya vizuri kuliko hata mwanzo.
Kama una swali unaweza uliza!
 
Kijana sema. Je ulicheza mechi nje ya ndoa baada ya kuoa!?

Maana, familia zingine hawataki ujinga kabisa wa kuchezea Binti yao hata kama umemuoa.

Au kama ulichepuka huko mitaani basi sema.

Ama kati ya mabinti uliokuwa unarukaruka nao yupo aliyekwambia atakufanyia kitu mbaya kama utamwacha na kuoa Binti mwingine!?

Yaani, weka wazi mambo ili wajuvi wakuokoe mapema..
Word
 
Mkiambiwa nguvu muweke uzeeni mnafikiri utani
 
fanya mazoez na ule ndizi na maparachichi sana maana yanaongeza libido (sex drive)
pia uache tabia hatarishi mfano ulevi,kuvuta sigara au bangi,kupiga punyeto na upunguze kua na msongo wa mawazo.
Sante
 
Hahahahaha eti mke ndo nimemuoaa.

Usijali,, je kabla ya hiyo hali mlikua mnajamiiana kila mara/siku??/

Kama ndio nilazima upate huo uhanisi unakuaga niwamuda mfupi .

Fanya mazoezi
Kunywa maji
Kula well balanced diet
Matunda .

Jipe muda ,,Siku ukimkaza atakuambia "Asante Baba".
Kila siku
 
Kijana sema. Je ulicheza mechi nje ya ndoa baada ya kuoa!?

Maana, familia zingine hawataki ujinga kabisa wa kuchezea Binti yao hata kama umemuoa.

Au kama ulichepuka huko mitaani basi sema.

Ama kati ya mabinti uliokuwa unarukaruka nao yupo aliyekwambia atakufanyia kitu mbaya kama utamwacha na kuoa Binti mwingine!?

Yaani, weka wazi mambo ili wajuvi wakuokoe mapema..
Hapana kaka
 
Back
Top Bottom