Msaada: Gharama ya kwenda na kurudi Israel

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Naomba kujua gharama ya kwebda na kurudi Israel kwa safari ya wiki moja, nauli ,chakula na malazi .
 
Unataka kwenda lini ? Maana nisije kukupa details za sasa kumbe unaenda mwaka kesho , na kama unavyo jua tickets zinabadilika bei kila masaa kadhaa
 
Mwezi wa nane
 
Back
Top Bottom