Udsm tuition fee ni milioni tatu na usheee bila hostel wala ndugu yake hostel. Lakini nadhani una kauzembe flan hivh coz sitegemei mtu aliyemaliza bachelor kuuliza swali kama hili wakati kuna website za vyuo mbalimbali ambavyo vina taarifa zote may be kama bado uko analogy