Msaada: Gharama ya postgraduate.

Msaada: Gharama ya postgraduate.

nhyama

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
48
Reaction score
29
Wana jf poleni na mihangaiko na siku nzima ya leo. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa gharama ya postgraduate ya ualimu ni kiasi gani serikalini.
 
Udsm tuition fee ni milioni tatu na usheee bila hostel wala ndugu yake hostel. Lakini nadhani una kauzembe flan hivh coz sitegemei mtu aliyemaliza bachelor kuuliza swali kama hili wakati kuna website za vyuo mbalimbali ambavyo vina taarifa zote may be kama bado uko analogy
 
Back
Top Bottom